Pwahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] What's special about these photos?. Ni kweli watanzania wengi ni vichaa .[emoji23][emoji23][emoji23]Yah tukifikisha 2% ya akili yetu hakuna nchi itakaribia Tz ktk dunia hii, mana kama tumetumia only 1% of our brain kufanya mambo makubwa hv ambayo huwezi kuta nchi nyingine EAC[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1665679View attachment 1665681View attachment 1665682View attachment 1665683View attachment 1665684View attachment 1665685View attachment 1665686View attachment 1665690View attachment 1665692
Tena hii nmekupa na like kabisa kwa kukubali kwamba TPDF co mchezo, wkt tunamaliza form six nilikuwa nasikia ukienda jeshini km hajafa mtu basi hapo hakuna kitu, ila kwa bahati nzuri nilipangiwa Ruvu kule sio pagumu sn tukamaliza salama kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo akili yako ndogo ilikudanganya kuwa hapo ni Kenya?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ya repeat gain kw kiswahili ni rudia rudia jamani[emoji23][emoji23]Ndo italeta maana gn ss, kwamba "rudia rudia" [emoji118][emoji3][emoji117][emoji86]
Mumewakomboa wa kina nani hao, tena unajua maana ya ukombozi au unapuyanga tuAccording to u ?? Hvi ww unafkiri jeshi ni sehemu kama bar that unatangaza kila kitu unaonesha kambi za jeshi kama vile unachanganya kvant na crest au???[emoji1][emoji1]
tatizo lako linishakwambia ww unajifanya kila kitu mjuaji alaf huna unalojua [emoji28][emoji28] tanzania imekomboa karibia nusu ya nchi zote africa leo unataka kufananisha jeshi la tanzania na kenya ambalo hata vita moja hamujapigana
Hata viwandani pia hawajui km nyie mnamiliki vyuma vyao..So unataka tutangaze jeshi kua kama vile vitumbua vinavouzwa?? Ikiwa kupiga picha jeshini unakatazwa itakua kukwambia kila kilichomo jeshini???
Tanga. Yaani ningekuwa serikali ningepiga ban hiyo aina ya mabati nchi nzima. Mabati yanayotoa kutu kirahisi yote ban! How is TBS okay with Such iron sheets? 🤔
Siku hizi naona unahemeshwa sana mpka unasahau emojisJibu swali langu hao ndio wanajua siri zote za jeshi duniani kote ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona north korea haijulikani ???[emoji28][emoji28][emoji28]
Huyo ni hawker hajui chochote[emoji23][emoji23][emoji1787]Maana ya repeat gain kw kiswahili ni rudia rudia jamani[emoji23][emoji23]
NYS wanafanya kuanzia kitambo hvyo vitu, sometime fanya research kwanzaTwende taratibu unajua huhui
SUMA JKT (JWTZ) Garment Factory
View attachment 1665436View attachment 1665438View attachment 1665439View attachment 1665440
Samahani kwa kukufungulia mwaka vibayaGo to google map and you will see kibera ni a very very small part of nairobi, like 1 percent... the rest of nairobi ni kama ngambo.. Na ukiwa hapo hapo angalia dareesalam kwa map uone dar yoye 90percent ni kama kibera.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Si ndio nimeshangaa mimi bwana mkubwa[emoji23][emoji23]Hizi ni vitu zinamilikiwa na vijana wa NYS bana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. So if I say that your army is in the level of NYS ntakuwa nimekosa?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo sio wakubishana nae ni kilaza wa mfano wake kenya nzima 🤣🤣🤣 yani hata siri za chumbani kwake mzungu ndio anazijua kua ana chupi ngapi etcndio sababu nikakuita wewe kinumbo,leo russia ikisema inazalisha ICBM,ikasema pia inauzia tz,unadhani itakwambia imeuza ngapi na mwaka wa mauzo!!!!!tena kama hujui ni marufuku mpaka mnunuzi aonyeshe mwenyewe,ndipo muuzaji aweke bayana rasmi.
Nyie huwa hamtaki kuachwa nyuma.so ulikuwa unabisha nini vitu tunafanya tangu 2015!
Yani ndio mnazindua vitu km hvyo karne hii[emoji23]Kwanza huko Kenya jeshi lenu linaishi kwenye slums uraiani
JWTZ got their own special military camp estates countrywide hawaishi na civilians mitaani kama Kenya
View attachment 1665443View attachment 1665444View attachment 1665445View attachment 1665446View attachment 1665447View attachment 1665448View attachment 1665449
Leta ushahidi kua magufuli aliidhinisha wakague jeshi ukipata mm nafunga acc jamii forum sasa hvi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Magufuli[emoji23][emoji23]