Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuzipendi au tunawacheka vile mchina anavowakuna vipele hvo 🤣🤣🤣🤣🤣 1798ksh kwa miaka 27 hahahhahahah tusubiri tuone dunia ikiingia mwisho
Wewe si ndio ulikuwa mtu wa Kwanza kutilia shaka ujenzi wa hii barabara. Ni mara ngapi uliitisha billboard ya ujenzi hapa? Kwa vile umepatwa na mshtuko kuona ni kweli inajengwa, sasa umebadilisha gear. Huitishi billboard tena ila sasa umekwama kwenye service fee. What will you talk next about this project?? 😂 😂 Ama wewe pia utaomba ianguke kama alivyofanya mmoja wenu wiki chache zilozpita? 😂 😂
 
The good thing most trailers will use Southern Bypass. The ones that will use the expressway are those that will be heading to CBD.
That's what they forget. Wanasahau Nairobi kuna bypasses na kwamba most trailers do not even pass through the cbd or anywhere close to the cbd
 
Thank you for this information.
 
nnauhakika Kenya nzima haina dampo za aina hii
dodoma apa ila yapo almost tz nzima kwani kunahaja ya kupataja? nyan'gau ni wavivu they can't even kwenda chooni wanaamua kushusha kitu kwa mfuko chumbani
ni wavivu kiasi kwamba uchafu anaacha apoapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…