Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni mbuzi kweli.

ndio maana nikakuuliza unadhani uzalishaji na uuzaji wa silaha ni kama kuuza mabeseni ya kuogea[emoji23][emoji23].

eti riport ya mwaka,leta ya jeshi lenu sasa kama ni simple namna hiyo.
Kwani jeshi letu huwa inauzia nchi zingine silaha ndio itoe report?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona umechanganyikiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Ithink unasumbuliwa

I think TZ mnasumbuliwa na a problem inaitwa inferiority complex. Kwenda kwenye kamusi ya kiingereza ..kenyna twaiita dictionary ujue maana yake zaidi. haya mapicha mnaposti hapa ni mambo yalianza kenya miaka ya 70s... Yaani nyie ndio mwashtukia sahii
Yamekuwa hayo tena. Hebu tuoneshe hapo link au picha tuone
Kwikwikwi. Kenya with weak army.
 
1609582244157.png
 
Hii ni kifaru ama toy?[emoji23][emoji23][emoji23] Is it even functioning? Where was it tested? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Kama unataka kuona hicho kifaru kinavyofanya kazi mwambie uhuru aruhusu tuje tufanyie majaribio hapo kibera slum tuwasaidie kuiondoa hayo mabati.
 
Hiyo toy hata haiezishtua mbuzi[emoji23][emoji23]
Kama unataka kuona hicho kifaru kinavyofanya kazi mwambie uhuru aruhusu tuje tufanyie majaribio hapo kibera slum tuwasaidie kuiondoa hato mabati.
 
Kwani jeshi letu huwa inauzia nchi zingine silaha ndio itoe report?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona umechanganyikiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Naona umeishiwa pumzi Mzee. KDF is a weak army. Hamna project yoyote.
 
Kwani jeshi letu huwa inauzia nchi zingine silaha ndio itoe report?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona umechanganyikiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]sasa uliposema majeshi hutoa siri za jeshi lake ulikuwa umepata mimba ya masaa!!!!

kama manufacturer anatoa siri,jeshi lako lingezificha usiwe nazo hapa!!!![emoji16][emoji16],tuliza kichwa maji hiyo kila unapojibu swali uko na akili kubwa hapa,sio mazombie wenzako wa nairobi.
 
Nimekuta mahali [emoji23][emoji23][emoji23]

"Usiseme Ivo na venye Azam lazima inipunguzie hangy after session ya konyagi."
 
[emoji16][emoji16][emoji16]sasa uliposema majeshi hutoa siri za jeshi lake ulikuwa umepata mimba ya masaa!!!!

kama manufacturer anatoa siri,jeshi lako lingezificha usiwe nazo hapa!!!![emoji16][emoji16],tuliza kichwa maji hiyo kila unapojibu swali uko na akili kubwa hapa,sio mazombie wenzako wa nairobi.
Please soma vizuri what I said.[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukishindwa kuelewa naeza kushauri upumzike kidogo ndio urudi tuendelee [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hehehe there is something known as end year report that is done by all companies worldwide except ATCL[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]. In that report, the manufacturer will list all the products they sold within that particular year. Details will include.
1.Name of each product sold.
2.Number of each product sold.
3.Where they were sold to.
4. Prices of the product.
5. How they were delivered to the customer.
6. Mode of payment of those payment.

Sasa ebu tuambie, with all those information do you still think that an importing country like Tanzania will manage to keep secrets?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Kwa ss mkubali tu kwmb tunawatawala kila kona Azam, Mo, just to mention the few ndio wanaolisha wakunya kwa bei cheap, wakunya wanakimbilia because of low price, our firms have a comparative advantage that's why they manage to beat kenyan firms in price war.
Mbona unatapika ujinga?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Juice za Kenya imejaza maduka za Tanzania. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]

[emoji116][emoji116]
Screenshot_20210102-130749.jpg
Screenshot_20210102-130959.jpg
 
Mbona unatapika ujinga?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Kwa ss mkubali tu kwmb tunawatawala kila kona Azam, Mo, just to mention the few ndio wanaolisha wakunya kwa bei cheap, wakunya wanakimbilia because of low price, our firms have a comparative advantage that's why they manage to beat kenyan firms in price war.
[emoji116][emoji116]View attachment 1665523View attachment 1665524
 
Back
Top Bottom