joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwahiyo wakenya hawapaswi kujua mapato na matumizi ya kodi zao hadi kuwe na faida? [emoji23][emoji23][emoji23]Does Kenyatta hospital exist to make money? Is it a business entity whose primary goal is to make profits? Wewe umechanganyikiwa na ni mwaka mpya
When it comes to density hawa watu wasikubabaishe bro. Hawana density yoyote outside cbd and upanga. Look at Nairobi west and parts of Eastlands below. Next utasikia wakisema mabox just because they can't counter thiskuna picha nimeona ya kasarani ina majumba mengi kuliko ile density yao ya kariako cbd......hawa majimaji hawaijui nai..........
You are very good at avoiding questions. If what you are saying is true about Kenyatta hospital, do Tanzanians know the same about ATCL? Do they know how their taxes are used at ATCL? And if they do, how do they know this?Kwahiyo wakenya hawapaswi kujua mapato na matumizi ya kodi zao hadi kuwe na faida? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio the ruddest Mtanzania kwa hii forum. Watanzania wengine ni wastaarabu lakini wewe una ukenya ukenya ndani yako.
Nitarudia tena kwasababu wakenya uwezo wenu wa akili ni mdogo Sana. Lengo la Private companies kuweka hadharani balance sheet zao ni:You are very good at avoiding questions. If what you are saying is true about Kenyatta hospital, does Tanzanians know the same about ATCL? Do they know how their taxes are used at ATCL? And if they do, how do they know this?
Watuongeze mishaharaKwa makusanyo ya kodi yanavyo ongezeka tutegemee phases kama mbili kuwa launchedView attachment 1664749
huu mwaka....kongole TRA.
Wakenya washamba sanaTatizo wakenya ni washamba mno. Mgekuwa mnauwezo hata kidogo wa kujifunza at least mngepiga hatua kutufikia.
Hii clip ni usiku kwenye maeneo ya Dar.
Same to you festo.Happy new year everyone
Asante sana kwa hii picha nishaisave kwa matumizi ya baadae, unajua picha zng kali zipo kwenye ile simu iliyoharibika, asante sn [emoji3][emoji3][emoji3]
Mwingine sasa anasema kuwa ATCL haikuanzishwa kwa ajili ya biashara na ndio maana hawatoi financial statements[emoji23][emoji23][emoji23]Don't you know how good they are at excuses?
Do you know the function of financial statements really? Are you aware that even the non profit organizations usually release their financial statements at the end of the year?Ndege zetu siyo kwa ajili ya "biashara ya ndege" kama nyinyi au jirani zenu Ethiopian Airways. Zetu ni kwa ajili ya destinations strategic kwa uchumi wetu tu. Na soon tunakuja na meli za mizigo za ku-play along EA Coast, Lake Victoria, na Lake Tanganyika. Nyasa tayari tunazo 2. Hivi hamshtuki tu nyie watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa gari ndio inakufurahisha? Things that can even be found in South Sudan, Burundi, Somalia, Malawi and Mali ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tony254 Akibong'oa wabongo havungi imo mpka kuna time anakaa sawaa bado huyu mzee Teargass Inabid aliwe mandee tena mtungo ndo atakaaa sawaa View attachment 1664735View attachment 1664736View attachment 1664738View attachment 1664737
Leta link kua mzigo asilimia 70 unasafirishwa na reli nasubiria 🤣🤣🤣Kenyan SGR is dead vipi yet 70% ya mizigo yake inaishia Nairobi? Una kichaa wewe.
Ndio maana niliacha kubishana nae manake mbwa ukimjua jina hakupi tabu🤣🤣🤣Wakenya washamba sana