Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hujawahi kurudia picha alafu kwako kila kitu ni agenda?embu badilika bana wewe
Jamaa yupo desperate mwache tu. Haamini anachoona si unajua mnyama anapochinjwa akiwa anakata roho huwa anajirusha rusha sana.

She don't know what to do. Wewe mwache tu sisi tuwe focused akijaribu kupotosha tunaweka taarifa sahihi. Watu wengi wanapitia Uzi huu, wanaona tabia za wakenya.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Sawa
 
Evidence ni border ikifungwa chakula na matunda inakua tabu kupatikana kupatikana kenya
 
Ethiopia airline is fully owned by the government yet they release their financial statements every year. Kubalini tu kuwa serikali yenu inawachezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Don't you know how good they are at excuses?
 
So hizo picha mnapost hapa with unmarked roads sio za Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu nionyeshe marked roads hapa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1664648
Asante sana kwa hii picha nishaisave kwa matumizi ya baadae, unajua picha zng kali zipo kwenye ile simu iliyoharibika, asante sn [emoji3][emoji3][emoji3]
 
So ATCL only have four international routes?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndege zetu siyo kwa ajili ya "biashara ya ndege" kama nyinyi au jirani zenu Ethiopian Airways. Zetu ni kwa ajili ya destinations strategic kwa uchumi wetu tu. Na soon tunakuja na meli za mizigo za ku-play along EA Coast, Lake Victoria, na Lake Tanganyika. Nyasa tayari tunazo 2. Hivi hamshtuki tu nyie watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama ni fully owned, hiyo taarifa wanamtolea nani?, kwanini usiulize Financial statement ya Kenyatta Hospital?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Does Kenyatta hospital exist to make money? Is it a business entity whose primary goal is to make profits? Wewe umechanganyikiwa na ni mwaka mpya
 
Does Kenyatta hospital exist to make money? Is it a business entity whose primary goal is to make profits? Wewe umechanganyikiwa na ni mwaka mpya
Hahahaha, Unaumwa wewe, kwani hawapewi pesa na serikali?, wananchi wanataka kujua matumizi ya kodi zao, kwani mashirika ya umeme na maji primary goal ni kutengeneza PESA?.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Does Kenyatta hospital exist to make money? Is it a business entity whose primary goal is to make profits? Wewe umechanganyikiwa na ni mwaka mpya
Hapa umemuaibisha mkunya mwenzako [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…