Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndugu yangu. Jamaa anajikaza kisabuni kutoa povu huku anaisha hahahaha!!! Anasema ni old wakati ni live coverage last month.

Hahahahaha
Hahahaha sasa anasema ni old pictures kwani railway na trains ni new?
 
Hapana bana, people of SS need love. Need to be loved. Walijitoa toka Sudan kwa sababu ya manyanyaso. Tujitahidi kuwa karibu nao. Tuwatie moyo wapendane na hiyo itasaidia wawapende wengine. Tusiwatumie kama deal. Maana wakijua, hawata tuamini tena. Pia hawata tupenda.

Again, nyie wakenya si ndiyo waumini wa aggressiveness!!?
Kenya ndio ilichangia sana kushinda nchi yoyote Afrika kwa South Sudan kujitenga kutoka Sudan. Hata John Garang alikuwa anaishi Kenya na familia yake pia ilikuwa inaishi Kenya. Halafu peace Agreement ya kwanza kabisa ambayo watu wa SS walisign ili kuwaleta pamoja wapiganaji tofauti wa SS, nadhani mwaka wa 2005, ulisainiwa Naivasha hapa Kenya. Kwa hivyo sisi tumechangia pakubwa kwa SS kuwa nchi huru kushinda nchi yoyote ile. Endeleeni na wimbo wenu wa CCM "Tuliikomboa Afrika."
 
Mutabakia kupoteza pesa za taxpayers kupaka lisptics tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1663761
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
12585938_brtpic_jpege4165b1577a261f6e62b20ff04f5d701.jpeg
 
Kenya ndio ilichangia sana kushinda nchi yoyote Afrika kwa South Sudan kujitenga kutoka Sudan. Hata John Garang alikuwa anaishi Kenya na familia yake pia ilikuwa inaishi Kenya. Halafu peace Agreement ya kwanza kabisa ambayo watu wa SS walisign ili kuwaleta pamoja wapiganaji tofauti wa SS, nadhani mwaka wa 2005, ulisainiwa Naivasha hapa Kenya. Kwa hivyo sisi tumechangia pakubwa kwa SS kuwa nchi huru kushinda nchi yoyote ile. Endeleeni na wimbo wenu wa CCM "Tuliikomboa Afrika."
Even the lead mediator between Garang and his political nemesis, Riek Machar, was a Kenyan appointed by former president Kibaki. I think he was the late Bethwel Kiplagat kama sijakosea. Kama kuna nchi imesaidia South Sudan to be the country it is today ni Kenya. Hata wao wanatambua hilo. No wonder they even copied our national flag!
 
Just imagine they ate billions already for renovation, mtatapeliwa mpaka lini?
The funny thing ni kwamba mtanzania is complaining on behalf of Kenyans at the top of his voice from his house in Gongo la Mboto 😂 😂
 
Thanks for showing us Mabati rolling mills[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]. Ebu nikumbushe the number of passengers it handled in 2019[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 leo jiti limekaa pahala pake
 
Back
Top Bottom