President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Wewe unaleta mlolongo mrefu mno.Umesoma report niliyokuwekea?
Unajua nyie wake you are not smart. Tutawakimbiza mpaka mtasoma namba. Leta data za 2020.
Wewe unaleta mlolongo mrefu mno.Umesoma report niliyokuwekea?
Pwahahahaha! Nimewanyoosha. Jipangeni mje upya kama mnakuja kijinga jinga tutawanyoosha. Rudini kwenye mashimo kama panya tena mkajichimbie.Wikipedia🚮🚮🚮
Hio ng'ombe ambayo inaitwa Venus star inaitisha statistics za 2020 ilhali 2020 yenyewe bado haijaisha. Ni nini ngumu kuelewa hapo The best 007. Wewe huwa unaelewa mambo haraka, leo mbona huelewi mambo?So, there is no new statistics since the last year, is it?
Stick to posting milk, vitu vingine wajichora. AsantePwahahahaha! Nimewanyoosha. Jipangeni mje upya kama mnakuja kijinga jinga tutawanyoosha. Rudini kwenye mashimo kama panya tena mkajichimbie.
Umeniwekeaje data ya mwaka huu ilhali mwaka huu bado haujaisha? Ndio maana nilikuita wewe ni mjinga. Ngoja mwaka huu uishe kwanza ili data ya mwaka huu itoke.Unaniita mjinga tena nimekuwekea za mwaka huu wewe unaongelea past.
Kenya inaoza.View attachment 1663099
Hapo ni mogadishu au sanaa yemen?
Pole sana for disappointing you but Wikipedia has never been used anywhere as a source of evidence. Tafuta article ingine ukipata urudi tuongee.Pwahahahaha! Nimewanyoosha. Jipangeni mje upya kama mnakuja kijinga jinga tutawanyoosha. Rudini kwenye mashimo kama panya tena mkajichimbie.
Pole kwake,, amezoea kupost maziwa huyo.Pole sana for disappointing you but Wikipedia has never been used anywhere as a source of evidence. Tafuta article ingine ukipata urudi tuongee.
Eeeee muongo, yeye kanukuu wapi au ni yale maneno ya majukwaaniSo Masanja Kadogosa ambaye ndiye mkuu pale TRC muongo![]()


New report will never ever be different from this believe or notDo you know why I usually call you warthog? It's because of your stupidity. Have you ever seen any annual report being released before end of the year? For your information, ripoti zote za mwaka huu zitatoka mwaka ujao na ripoti za 2021 zitatoka 2022. Are we together?




Akuna cha kujuta hapo ni kuchap mpka ulie vyema
Nimiwambia hawa jama nifukara wanalia





Tupe jina ya hili eneo jombaHawa mostly wanachill maeneo kama haya View attachment 1663077
Mbezi chini kwa zena