President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Watoto wa kike wa Tanzania wazuri wanakunywa wine safi. Made by Tanzanians
Kenya vipi huko!?
Kenya vipi huko!?
Unailinganisha KQ yenye 27/30 of her fleets loaned while debt servicing already defaulted na Air Tanzania with 100% of her 11 aircraft fully paid n has just placed orders for 2 B787 n one cargo jet to be fully paid!Nyie msipoimarisha national carrier yenu hamtawahi kufikia JKIA in terms of pax. Yaani itabidi muanze kusafiri hadi Landon na USA ndio mtufikie. Lakini kwa sasa lipeni mkulima kwanza ili awafungulie route ya SA kisha mje Kenya kisha muende Nigeria kisha muende nchi za ulaya. Mna safari ndefu sana kabla Airport zenu hazijapata abiria wa kutosha kucompete na JKIA.
Kwaiyo ukiambiwa taja mkoa uli katikati kenya utasema nirobaryTanzania na Nigeria zimehamisha capital city kutoka ufuoni mwa bahari hadi kati kati mwa nchi. Sisi hio tulishafanya zamani. Mabeberu walishahamisha capital city kutoka Mombasa hadi Nairobi hata kabla ya mwaka wa 1920. Nairobi iko katikati mwa Kenya kwa hivyo hakuna haja ya kuhama.




..acha bangiWewe unaongea kuhusu mambo ya ownership ya ndege mimi naongea kuhusu passenger numbers. KQ inaleta abiria wengi JKIA. Mtu yeyote anayepanda KQ na anaconnect flight lazima ashukie JKIA ili afanye connection to the next flight. Atcl ina mipango gani ya kufanya Dar airport iwe transportation hub ambapo abiria watakuwa wanafanya connection of flights kama inavyofanyika JKIA na Bole? Sawa mnamiliki 100% ya ndege zenu ila mkulima amezizuia kuruka angani. Sasa ina faida gani kumiliki 100% kama huwezi kuzitumia?Unailinganisha KQ yenye 3/4 of her fleets loaned while debt servicing already defaulted na Air Tanzania with 100% of her 11 aircraft fully paid n has just placed orders for 2 B787 n one cargo jet to be fully paid!
Now KQ's main partner KLM is already preying on KQ dominance in zanzibar's market! Now western tourists fly direct to the Archipelago n avoid JKIA!
habari njema kabisa..Tony254 ona maajabu yanaendelea
View attachment 1659980![]()
TCRA: Ujenzi wa Kiwanda cha Simu Tanzania Kuanza 2021
TCRA: Ujenzi wa Kiwanda cha Simu Tanzania Kuanza 2021 - Others - operanewsappopr.news
rudi na hapa mzee wa ikuluView attachment 1660163Kwenye infrastructure mpo mbele. Iwe ni runway au passenger terminals. Hio mimi sipingi. Lakini hata hivyo bado Kenya pamoja na airport zake nzee bado ina abiria wengi wanaotumia airports zetu na itabaki kuwa hivyo hadi milele. Hakuna siku itakuja kutokea kuwa Tanzania itakuwa na abiria wengi wa ndege wanaotumia airport zenu kutushinda. Airport za Kenya pamoja na kuzeeka bado zitakuwa na abiria wengi kushinda zenu. Just because you are modernising your airport doesn't mean that your airports will overtake us in passenger numbers.
maamuzi tu,,dodoma haijachukua miaka 30 ,ila tulikuwa tunahama taratibu tulikuwa tunatanguliza mambo muhimu mdogo mdogo ndiyo maana tulishalitangulizs bunge tokea enzi za mwalimu nyerere....Mbona malazy mlichukua miaka 30 kuhama kutoka Dar hadi Dodoma? Kitu gani kiliwachelewesha?
The following map illustrates the Top 10 and Bottom 10 food secure performers in the Africa Country Benchmark Report (ACBR).Ugali chanzo chake ni mahindi.
Nyie kunyaland hamuwezi kulima mahindi. Ndio maana mnapigana kwenye supermarket mkigombania unga wa mahindi.
Msigombane ndugu zetu sisi mahindi yapo tutawasaidia kwa bei chee.View attachment 1660098View attachment 1660099View attachment 1660100View attachment 1660101
duuuh!!!¡Tanzania na Nigeria zimehamisha capital city kutoka ufuoni mwa bahari hadi kati kati mwa nchi. Sisi hio tulishafanya zamani. Mabeberu walishahamisha capital city kutoka Mombasa hadi Nairobi hata kabla ya mwaka wa 1920. Nairobi iko katikati mwa Kenya kwa hivyo hakuna haja ya kuhama.
Statistics tena. Anayetengeneza hizo statistics amekaa London kwenye kiyoyozi
waachee tu hao wazee wa rsnking waendelee kujilaghai....Watoto wa kike wa Tanzania wazuri wanakunywa wine safi. Made by Tanzanians
Kenya vipi huko!?View attachment 1660125View attachment 1660126View attachment 1660127View attachment 1660128
Hebu tuoneshe hayo mashamba ya chakula. Tuwekee picha kama hizi
Lini umesikia Tz kuna njaa, lini umesikia kuna msaada wa chakula huku, hyo map isikutishe ni kwa sababu vyakula vingi vilikuwa vinaondoka kinyemela nchini pasipo kuwa counted na mamlaka husika.
taratibu wataelewa tu kwa sasa wacha warelax hii meza inakwenda kupinduka halafu wakae wakijua kuwa Tz hatutegemei airport moja kama jinsi ilivyo kwao kila kitu nsirobiUnailinganisha KQ yenye 3/4 of her fleets loaned while debt servicing already defaulted na Air Tanzania with 100% of her 11 aircraft fully paid n has just placed orders for 2 B787 n one cargo jet to be fully paid!
Now KQ's main partner KLM is already preying on KQ dominance in zanzibar's market! Now western tourists fly direct to the Archipelago n avoid JKIA!
Hebu tuoneshe hayo mashamba ya chakula. Tuwekee picha kama hizi
Banana production in Tanzania.View attachment 1660168Surely picha za ndizi ndio zinakufurahisha hivyo. These things are all over Meru and Kisii county Kama nyasi!!!!
unataka kuukwepa uhalisia umetoa wapi huo uchafu....


