Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila hapa mchina amewaokoa sana lasivo mlikua munadondokea pua 🤣🤣🤣
Hahaha mchina kaamua kujenga majumba zaidi ya sita kwa mpigo. Usichezee mchina wewe. Yaani wakati wa ujenzi kulikuwa na cranes zaidi ya sita katika project moja.
 
watu weusi kama mafuta ya bunduki hawawezi kuelewa Watanzania wako fair!
Watanzania ni whites sio[emoji1787][emoji1787]
Kweli nyie mumekaliwa na wahindi na waarabu mpka nyoteni mnatamani kuwa lightskinned
 
Hili nalo ni jitu la 44 floors ambalo limeanza kuamka. Linaitwa 88 tower. Litakuwa the second tallest residential tower in Africa. Itakuwa one of the tallest buildings in East and Central Africa. Watu wataishi hadi kwenye floor ya juu kabisa ya 44 ambapo wataweza kuona mount Kilimanjaro kutoka Nairobi.



Kabla hamjaanza kulia kwamba nawapa renders basi ndio hizi picha zenyewe. Ujenzi wa foundation umeanza rasmi na nitakuwa nawapa updates.






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…