Kuna kitu Magu anategesha...tena bonge la tego la kumnyakuwa mwana wa uganda kutoka Kwa utopolo Kenya..Hichi kipande cha Isaka - Mwanza ni tego la mzee JPM anampimia Uganda...na usishangae jiwe la msingi anamuita Mseven[emoji23] waweke wote...JPM uwa ana karata ya mbali ukitishia kujamba yeye anakunya kabxa..wakenya mlitaka kuua uchumi wa TZ..Ngariba haogopi Mkojo wacha tuwakekete bila Ganzi..Najua kwa mlivyo vilaza wa kiswahili hamtaelewa hii sms lakini dole limewaingia jiandaeni kulinusa[emoji12][emoji12]...Merry C-max in advance[emoji319][emoji319]