Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ngoja watu wanogewe wawe wanaenda kuwinda wenyewe! Hapa JPM anachemka!
Hapa akili iliyotumika ni kwamba wanauza nyama pori ili kupunguza ujangili, mana hata tusiponununua buchani majangili yatauza kisirisiri, ila nadhani kutakuwa na utaratibu fulani kwmb kila miezi fulani tunanunua nyama pori buchani, na iwe nyama za wanyama ambao ni wengi mfano swala, nyumbu n.k.
 
Acha hzo, wanyama hatuwezi wamaliza km kutakuwepo na mikakati kabambe na km itakua wamewaacha rai kujiwindia kihole basi hapo ndio itakua wamechemka..
Ila widhani km watazembea kiasi hicho wanyama pori wauliwe kiholela

niongezee kuwa waweke sheria au watangaze kuwa atakaekutwa (hana kibali or whatever) ameua mnyama adhabu kali sana juu yake.. mfano fine millions 50
 

ila cha kushangaza.. huu upande wa kushoto baada ya daraja kuelekia city hawafanyii kazi same time wanavyojenga hilo daraja.. wanasubir daraja limalizike ndo waendelee na hio wall
IMG_1608557127.833243.jpg
 
Kenya's matatu na chatu

Chatu mpaka ndani ya matatu na wenyewe wanasafiri kutoka kibera kwenda CBD kutafuta mlo 🤣🤣🤣🤣 manake wanaamini wanaishi kwenye slums sio binaadamu wakawaida so chatu pia wanawaogopa watu wa slums
 
Back
Top Bottom