Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
MK254 lawrence maina njoo utoe povu hapa
MK254 lawrence maina njoo utoe povu hapa
Ila magufuli kawafanya wakenya wengi wapoteze dira na chachu 🤣🤣🤣🤣🤣
Eti comdian erick omondi hahahah sasa huyo hua anachekesha nn 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwn NCR ni BRTdah ila hawa jamaa bana aisee[emoji38][emoji38].
brt uka da huu iko tz pekee[emoji16][emoji16][emoji16],ulitaka useme!!Kwn NCR ni BRT
Jibu swali au utuonyeshe wewe mabasi ya commuter rail yenubrt uka da huu iko tz pekee[emoji16][emoji16][emoji16],ulitaka useme!!
na kazi ya BRT ni nini ??? Hebu tuelekezeJibu swali au utuonyeshe wewe mabasi ya commuter rail yenu
🤣🤣🤣🤣brt uka da huu iko tz pekee[emoji16][emoji16][emoji16],ulitaka useme!!
Tuoneshe kama iyo Nairobi, kama hujaanza kutafuta msaada county nyingine, mara kisumu mara mombasa mpaka nchi nyingine ili upate kitu kama iyo..Density gani? Nyumba ndogo ndogo hizo?
Jamaa Katoa rushwa si unajua ndo zao majirani zetu🙂Eti comdian erick omondi hahahah sasa huyo hua anachekesha nn 🤣🤣🤣🤣🤣
Mombasa port inamsalimia mdogo wake.
Na hapo ukarabati unaendelea. Huku nyang'au wakitolewa jasho na DSM port wanashangaa baada ya 2 years Tanga port imekua kwa speed ya light
Nashindwa hata niipe jina gani;
Mbna unaleta mada tofauti, we si ndio umesema hayo mabasi hayafai..na kazi ya BRT ni nini ??? Hebu tuelekeze
Privates sector vipi mbeyaMbeya [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 1655960View attachment 1655961View attachment 1655962View attachment 1655963View attachment 1655964View attachment 1655965