Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ongeza na hii ya chang'ombe flyover.
yaani hawa viroboto wana safari ya miaka 2 tu kukiri kwa vinywa vyao hadharaniView attachment 1656031View attachment 1656032
IMG_20201219_090655.jpg
 
Shida ni kwamba wazungu nao wanavibali vya kuwinda wanyama pori na wanachukua na nyama pia, so na sisi inatakiwa tule sio kuwaachia wao tu wale, au km vp tuwakataze wao wasile ili tule sisi mkuu.
Wazungu wanawinda kwa idadi ndogo sana na kwa gharama kubwa mno na huwa ni kwa msimu tu, sa fikiria bucha karibu 40 nchi nzima zinatakiwa kufunguliwa daily, Sidhani kama tuna wanyama wengi kiasi hicho na sioni mantiki ya uchu wa kula nyama pori hivyo.
 
nani ana views wengi zaidi youtube? kuna msanii kafika 1 bln views? diamond anamiliki radio station, Burnaboy anamiliki nini? Diamond anajenga tower yake pia!
Acha mchezo wewe burna boy ni msanii mkubwa sana afrika, burna single zake zimetikisa sana wala hategemei remix za watu wala ma collabo ndio zimbebe.

Alafu ikitoke siku ile wasafi kila mtu aamue achukue chake hapo ndipo utajua km wasafi ina wenyewe.yani sile hela aliyolipa harmonize ni kidogo mondi naona ndio atalia na kusaga meno..
Kuna watu wana mpunga wao wasafai, nyie kaeni mkimsifia mondi amewekeza..usilolijua ni usiku wa giza
 
Wazungu wanawinda kwa idadi ndogo sana na kwa gharama kubwa mno na huwa ni kwa msimu tu, sa fikiria bucha karibu 40 nchi nzima zinatakiwa kufunguliwa daily, Sidhani kama tuna wanyama wengi kiasi hicho na sioni mantiki ya uchu wa kula nyama pori hivyo.
mkuu japo mimi pia sikubali,ila nina imani hawawezi wakayaendesha kama mabucha ya ng'ombe za kawaida.

kwa sababu hata hao wazungu wanavuna kwa msimu ujue,mwezi wa 7-12.
 
Wazungu wanawinda kwa idadi ndogo sana na kwa gharama kubwa mno na huwa ni kwa msimu tu, sa fikiria bucha karibu 40 nchi nzima zinatakiwa kufunguliwa daily, Sidhani kama tuna wanyama wengi kiasi hicho na sioni mantiki ya uchu wa kula nyama pori hivyo.
ngoja watu wanogewe wawe wanaenda kuwinda wenyewe! Hapa JPM anachemka!
 
Acha hzo, wanyama hatuwezi wamaliza km kutakuwepo na mikakati kabambe na km itakua wamewaacha rai kujiwindia kihole basi hapo ndio itakua wamechemka..
Ila widhani km watazembea kiasi hicho wanyama pori wauliwe kiholela
 
ngoja watu wanogewe wawe wanaenda kuwinda wenyewe! Hapa JPM anachemka!
Sio kila kitu kikifanyika basi ni rais, kuna sifa zingine na mabaya hayaendi kw rais tu..
Nyama za wanyamapori tamu sana, so itabidi watoe tamko km mambo yatatakiwa yaendeshwe vipi
 
Back
Top Bottom