Kati yangu na wewe nani ndio kiazi? Nani ana IQ ya juu kati yangu na wewe?wewe sisi huwa tunaamini kama ujinga wako una afadhali kidogo,lakini hapa unathibitsha nawewe ni wale wale,kiazi wahed.
kwani za chini zinaitwaje!!!hii case ikiwa upande wenutatafuta maelezo yote kujazia kama kule kwenye floating bridge.
[emoji116][emoji116][emoji116]unaweza hesabu ukitakaView attachment 1654949
Hakuna udongo mwekundu Dar unless hujaingia class, Dar is a coastal city huwezi kuta dongo jekundu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Ushahidi tumeweka hadi tumechoka.Usiongee km mwehu uwe unaweka na ushahidi.
Hiyo ndio shida yenu wakunya, nairobi inaonekana kwenye picha moja.Zilizopo kwenye hii picha ni tower tatu pekee na tuko 2020.....sasa hizo zingine ziko wapi kama ulivyo list hapo juuView attachment 1655103
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
takataka tuu wewe!![emoji241]View attachment 1655065
Ati nini, wewe mtu mdogo sana kwangu.
Vitu kama hivi huwa vinakufurahisha sana.
Nakuru ni hometown wewe. Wacha matusi dogo ama nikupige ngoto ya kisogo.Kumbe nakuru nayo ni pori [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Ukinionyesha hizo 40 floors nafunga account[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Hawa ndio waliojenga TPA tower[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
Sasa abishane naoView attachment 1655027View attachment 1655028
TPA will never be 40 floors[emoji23][emoji23][emoji23]. In East Africa there are only two buildings with 40+ floors, GTC and CEB .So nikuamini ww au nimuamini aliejenga hebu jihukumu mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Vitu kama hivi huwa vinakufurahisha sana.
Mimi ukinionyesha penye hizo 40 floors zimepatikana nafunga account[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Leo tunabishana na waliojenga jengo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1655029View attachment 1655030
[emoji16] [emoji16] [emoji16] lift tayari zishasema ama labda iyo lift ni bonoko.
Bro hapo wapi? Mbona kama vile uvira labda na huko upajui Mimi nakuelezea kulingana na experience yangu binafsi sijui umenielewa? Nimekaa Nairobi zimerman,umoja 2,ina core na nimefika mitaa mbali mbali Yani kwa ufupi slum zenu nazijua vizuri🙂mfano slum ya Kwanza na ya pili mathare upande wa desert,ya tatu kibra au kibera alafu ya nne korogocho upande wa mukuru au dandora dumpsite Sawa?🙂Yenyewe majengo yenu yana ubora wa hali ya juuView attachment 1655109
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Jamaa kaamua kutuwekea picha za uvira kwa kina Christian bella 🤣🤣🤣🤣Hakuna udongo mwekundu Dar unless hujaingia class, Dar is a coastal city huwezi kuta dongo jekundu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Hiyo hoteli ndio the 36th floor[emoji23][emoji23][emoji23]So kama zinaanza hapo 36 kwenda juu zingine kwasababu juu kabisa ni hotel lazma kutakua na ulinzi au ww hujawah kuona hio
Ni vizuri.
Umeona maana ya poor planning mkuu? Serikali ilikua wapi mpaka watu wanafikia kujenga sehemu husika wakati walijua Barbara itapita hapo🙄🙄🙄