Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,220
- 33,434
Bila wakenya Diamond angefaulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]Who is davis muli???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila wakenya Diamond angefaulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]Who is davis muli???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii hutaki terminal 1 mpaka 3[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1654372
Wewe mtu wa Arusha unajua nini kuhusu Zanzibar?Mombasa ilishindwa battle na Zanzibar usitake kuturisha nyuma choco master
Thibitisha kua hapo ni bongo, maana hata huko uswahilini wanakarabati nyumba zao kwa kuinua mapaa juu zaidi kisa joto sembuse mabati si utakaangika kama mshkaki?Kibera wana nguzo za umeme nashngaa bongo kiza kiza[emoji1787][emoji1787]View attachment 1654353View attachment 1654354
Wivu unakutesaMabati rolling mill [emoji23][emoji23]
Wivu unakutesa
Buda, mimi najitahidi sana inapokuja swala la kusafiri, kila ratiba zangu zikinipa mwanya nasafiri na hii ndio miji na mikoa nliyoishi na kutembelea TZ: Tanga, Kilimanjaro, Iringa, Arusha, Zanzibar, Dodoma, Mwanza, Kagera, Morogoro, DSM ndo napoishi. Mji ninaoutamani kufika now ni mbeya then mingine itafuatia, so huniambii kitu kuhusu nchi yangu tukufu TANZANIAWewe mtu wa Arusha unajua nini kuhusu Zanzibar?
sijaelewa vp? mtumba umekosa wateja maana yake tayari unajiendesha tupu!Naona hujaelewa habari.
Buda, unajua fika majanga ya njaa yanayotokea Kenya ni kitu ambacho Tz haijawahi kushuhudia, watu na wanyama wanakonda na kubaki skeletons! Unafikiri tunaposema kuwa sisi ni matajiri kuliko jumuiya za wazungu zinavyotulable ni maigizo? tukipima kiuhalisia hamtukuti na siku moja mtayasema haya nyie wenyeweNchi yenye inamine gold na diamond yet it is one of the poorest in the world. What a shame and an embarrasment to other Africans.
hamuliwezi timbwili lake! maana najua hamjawahi na hamtakaa mshinde when it comes to institute bans! Bring it on!Kenya inastahili kuban Tanzanian products too.
na huezi sema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siezionea hii godown wivu[emoji23][emoji23]View attachment 1654403
Jaribuni alafu tuone nani ataanza kulialia sisi hua tunafunga kila kituKenya inastahili kuban Tanzanian products too.
Acha kuijarbu dar ....na ujinga nextHzo ni residentials[emoji1787]
Na wewe nionyeshe residential ya 20+ floors darView attachment 1654311
Kwani ilo jengo limejengwa machakan [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hzo ni residentials[emoji1787]
Na wewe nionyeshe residential ya 20+ floors darView attachment 1654311
Sio kwamba imekosa wateja. Watu walicomplain kuwa Ksh 500 ni pesa nyingi serikali ikaamua kupunguza bei.sijaelewa vp? mtumba umekosa wateja maana yake tayari unajiendesha tupu!
Mombasa bado sana kakaHzo ni residentials[emoji1787]
Na wewe nionyeshe residential ya 20+ floors darView attachment 1654311
imeletwa isaidie nairobi usiikatae mkuu[emoji28][emoji28].Mombasa bado sana kakaView attachment 1654440View attachment 1654441