komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Km vile bill gate anavyoogopa kuzaaumasikini ni kuogopa kuzaa maana huna uhakika wa kula,kuvaa wala kulala![]()


Km vile bill gate anavyoogopa kuzaaumasikini ni kuogopa kuzaa maana huna uhakika wa kula,kuvaa wala kulala![]()


leta hizo data!
kaulize dangote ana watoto wangapi kisha kaa chini ujicheke ujinga.Km vile bill gate anavyoogopa kuzaa![]()
Kibera wana nguzo za umeme nashngaa bongo kiza kizaKenyan homes, international tourism attraction![]()
Hakuna mtanzania anaepumua amewahi kuishi kwenye haya mazingira toka dunia imekua
View attachment 1654349View attachment 1654351

Tuangalie magufuli kwanzakaulize dangote ana watoto wangapi kisha kaa chini ujicheke ujinga.
Sisi tunazaliana sababu tuna vya kutumia, ninyi mnazaliana kwa kushindana na sisi?Mbona basi km tunazaana km panya after uhuru tulikua sawa jamani, imekuaje tena mkazaliana hvo na wakati kwenu kumejaa misitu na mbuga..
Au ndio manakw mumejazana dar tu![]()
Unajua mtu mwenye kipato cha chini hastahili kuwa na watoto wanane maana atashindwa kuwasomesha hadi wafike chuo kikuu.Akili za kulemaa hzo mzes tony
achana na magufuli jk mwenyewe ana 9.Tuangalie magufuli kwanza


.Babangu sio mbongo na hajui hata kenya iko side gani!!Muulize babako manake mziki wa genge aliuskiza sana enzi zile
Ripoti ya tuliomba iko wapi, si huyo hiyo zitto ndio kasema polisi wameua watu kule kibiti alafu wakawazika katika shimo mojaSisi tunazaliana sababu tuna vya kutumia, ninyi mnazaliana kwa kushindana na sisi?
Ulishasikia tukisaidiwa chakula?
Badala yake ndio tunawasaidia chakula ninyi View attachment 1654357
Utasema kwamba wakongo wanazaliana hovyo?



Leta ushahidi kwamba hapo ni Tanzania!
Sasa nyie masikini wa kutupwa mnataka kujilinganisha na Dangote?kaulize dangote ana watoto wangapi kisha kaa chini ujicheke ujinga.
Asante sana mhindiBabangu sio mbongo na hajui hata kenya iko side gani!!
Tanzania hapo, wasanii wa tanzania singeli ya tanzaniaLeta ushahidi kwamba hapo ni Tanzania!
Mimi nakupa ushahidi hii Kenyan homes ipo Kenya
View attachment 1654358


Elimu ya hawa watu ni hopeless sana, yaani wanajilinganisha na Tanzania kabisa inayolima chakula na kutumia 30% tu huku zaidi ya 70% havina walaji, wao kujitosheleza maji tu Nairobi ni mzozohope bado mko na watu wale wale kwa eneo lile lile.
sasa piga hesabu ya population sasa! I stand with UN data!![]()
2019 Kenya Population and Housing Census Results - Kenya National Bureau of Statistics
The total enumerated population was 47,564,296 Of which 23,548,056 were Males, 24,014,716 were Females and 1,524 were Intersex Females accounted for 50.5% ofwww.knbs.or.ke
Sio shida kabisa tuna ardhi kubwa sana na resouces nyingi kwaiyo tunahitaji human resource ya kutosha angalau 500m+ populationMnaenda kwa kasi sana jamani
2025 mtakua mbaelekea 80m![]()
sasa wewe una hela unaogopa kuwa na watotoSasa nyie masikini wa kutupwa mnataka kujilinganisha na Dangote?


.hii nchi itatakiwa tufike kama 100mln hivi ndio tuanze kufikiri namna ya kupanga uzazi.
Hahahaha Em chekecha akili yako ujue Kenya ina population kiasi gani na wangapi wapo Nairobi na Tanzania Ina population gani na wangapi wapo DarNdio manake kila watoto wao wanapokua wakubwa wanawaza kwenda dar kujenda dream house yake abaki hko hko