Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na wala hatujajaa kiivyo,au nikupe uwiano wa eneo na idadi ya watu ulinganishe na nairobi[emoji38][emoji38][emoji38].
Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]
 
Km hizi hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1654337View attachment 1654338
Namna hii 😂😂😂

Kenyan homes at their dopest style 🤣🤣🤣

images - 2020-02-22T130522.464.jpeg
 
Ngengetone ni nini tena?

Maana me nyie hamchelewi kusema bongofleva ilianzia mombasa,
Kiswahili kilianzia mombasa
Labda iyo gengetoni ni singeli maana nyie sio wakuwaamini kwenye vitu vya watu..
Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kuna wabongo sai wanazitumia katima insta videos zao na tiktok..

Mpende msipende sai gengetone mitaani mtaziskiza tu
 
Jamaa mpka wanatamani waelewe maana ya yale maneo ya sheng hadi kufundishwa na wakenya katika comments..
Yani ishapenya hvo ujue tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
namna ya kujua wimbo umepenya tz angalia views,ukiona ziko down ujue bado,sisi tunatumia youtube mama usidanganywe.
 
nyie ndio mmezaana kama panya! Kumbuka tanzania is twice the size of Kenya! Sasa kwa sie tulio +60 mln na nyie mlio +50 mln nani kaazaana ovyo? Au unataka nondo za njaa huko Kenya kama evidence ya kutoweza kujikimu?
Kenya tuko 47 million according to 2019 census.
 
kachukue takwimu za kenya na ukubwa wa eneo lake,ulinganishe na tz,utajua nyinyi mmezaliana kama kunguni.
1960 kenya na tanzania population zilikuaje[emoji1787][emoji1787]
Nadhani ukisha google ndio utaelewa kwn tunasema mnazaana kiholela tu
 
Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]
tatizo mnatumia akili vibaya.

so toka uhuru 50yrs now,tumefanikiwa kuwazidi 10ml peoples,while eneo tumewazidi nusu,na huoni hatari jinsi unafikiri[emoji23][emoji23].
 
Kenya tuko 47 million according to 2019 census.
Kenya is exactly 0ver 54 mln people as of December 19, 2020!
  • The current population of Kenya is 54,315,808 as of Saturday, December 19, 2020, based on Worldometer elaboration of the latest United Nations data.
 
Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]
Ninyi ndio mnazaana kama paka sababu nchi yenu ni Jangwa 90%, natural resources 10% lakini mpo 56 million 😢😢😢
 
Ngengetone ni nini tena?

Maana me nyie hamchelewi kusema bongofleva ilianzia mombasa,
Kiswahili kilianzia mombasa
Labda iyo gengetoni ni singeli maana nyie sio wakuwaamini kwenye vitu vya watu..
Muulize babako manake mziki wa genge aliuskiza sana enzi zile
 
tatizo mnatumia akili vibaya.

so toka uhuru 50yrs now,tumefanikiwa kuwazidi 10ml peoples,while eneo tumewazidi nusu,na huoni hatari jinsi unafikiri[emoji23][emoji23].
Mbona tulikua sawa jamani, imekuwaje majirani[emoji1787][emoji1787]
 
Kenya is exactly 0ver 54 mln people as of December 19, 2020!
  • The current population of Kenya is 54,315,808 as of Saturday, December 19, 2020, based on Worldometer elaboration of the latest United Nations data.
Hahahaha!!data za census hazijui huo udubwasha wako
 
Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]
Kenya na Tanzania zilikuwa na similar population size wakati wa uhuru. Lakini baada ya uhuru hawa jamaa waliamua kuraruana sana.
 
Ninyi ndio mnazaana kama paka sababu nchi yenu ni Jangwa 90%, natural resources 10% lakini mpo 56 million [emoji22][emoji22][emoji22]
Mbona basi km tunazaana km panya after uhuru tulikua sawa jamani, imekuaje tena mkazaliana hvo na wakati kwenu kumejaa misitu na mbuga..
Au ndio manakw mumejazana dar tu[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom