komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Nionyeshethen nairobi ina vichaka na vichuguu cbd[emoji38][emoji38]
nikuonyeshe[emoji23][emoji23].
Nionyeshethen nairobi ina vichaka na vichuguu cbd[emoji38][emoji38]
nikuonyeshe[emoji23][emoji23].
So ukiona mabati ni slum😁
Sai gengetone wameanza kufikisha views za maana..[emoji38][emoji38][emoji38]tatizo huwanafanya league wenzenu tunaishi kawaida.
mko na play kenya music,views za diamond zinazidi kwenda hewani.
saa hii tuko kwenye challange ya 100mln views per song,nyie endeleeni na play kenya music[emoji23][emoji23].
halafu nyimbo zenyewe ndio zile za lewaaaaaaaaaaa.
Nahuzunika kw uchungu[emoji1787][emoji1787]usilie kwa uchungu[emoji23].
Iron chacks everywhere 😂😂😂😂Emu zoom utuonyeshe[emoji1787][emoji1787]
Natumia vijembe vyenu, zoom utuletee hapa
Ni estate 🤣🤣🤣So ukiona mabati ni slum😁
ndio hiyo the biggest in EA.Nahuzunika kw uchungu[emoji1787][emoji1787]
Eti kisha international airport hyo
ngengetone ndio nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sai gengetone wameanza kufikisha views za maana..
Unajitoa ufahamu tayari[emoji1787][emoji1787]ngengetone ndio nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What kind of research should i do.Mombasa is the smallest county in Kenya...hakuna village Mombasa. Do your research
Huwa nashangaa 80% ya Dar ni slum aka usawazi,that city is patheticNi estate 🤣🤣🤣
Mboni sioni slum mimi hapo[emoji1787][emoji1787][emoji7]
lewaaa nakutana nazo kama playback huko ticktok na kwenye memes za instagram,sijawahi fatilia ni nani kaimba ila nilijua ni wakenya.Unajitoa ufahamu tayari[emoji1787][emoji1787]
Ulipotaja lewaaaa ulimaanisha nn, kumbe unazisikiza ukikamatwa unaanza kulia lia
Slums ya kwenye video? 😂😂😂Mboni sioni slum mimi hapo[emoji1787][emoji1787][emoji7]
Au unamaanisha hziView attachment 1654326
Kama Dar ni 80% Nairobi ni 9000% 😂😂Huwa nashangaa 80% ya Dar ni slum aka usawazi,that city is pathetic
Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]lewaaa nakutana nazo kama playback huko ticktok na kwenye memes za instagram,sijawahi fatilia ni nani kaimba ila nilijua ni wakenya.
kama ni kuku zinaishi hapo,kwenu zinalala nguruwe[emoji38][emoji38].Asante kwa banda la kuku.View attachment 1654329