Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Slums ya kwenye video? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ilijificha miaka yote imekuja kuibuka November 2020 kwenye video ya singeli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona Kenyan houses zipo Miaka na miaka?
Kwn nyie huaga mna aerial views za mji wenu[emoji1787][emoji1787]
Je nikikuletea za yule jamàa wenu wa insta anaye post za wasanii chipukizi dar ili kuwapea support utazikataa
 
Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kuna wabongo sai wanazitumia katima insta videos zao na tiktok..

Mpende msipende sai gengetone mitaani mtaziskiza tu
Naona mmeanza kuimba bongo flava na ninyi 😂😂😂

Screenshot_20201115-175806~2.png
 
Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kuna wabongo sai wanazitumia katima insta videos zao na tiktok..

Mpende msipende sai gengetone mitaani mtaziskiza tu
[emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kudanganya dada yangu,mziki wa kenya ambao ulisikika walau mara mbili tatu ni femi one na mejor.hiyo lewa haitumiki na watz ila ni wakenya wenzenu maana video zinachanganywa huwezi chagua uone za ncgi ipi.
 
Sasa unafikir Dar ni kajiji ka watu million 2 kama kunya ...ndio mana tunahitaj mabasi zaidi pia kuongeza root za trains....wellcome to definition of true city[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Mbona mumefinyana nyote Dar? Ni umasikini imewapeleka Dar?
 
Kwn nyie huaga mna aerial views za mji wenu[emoji1787][emoji1787]
Je nikikuletea za yule jamàa wenu wa insta anaye post za wasanii chipukizi dar ili kuwapea support utazikataa
Point ni kwamba hizo iron shacks aka Kenyan homes hazipo wala hazitokaa zitokee bongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kudanganya dada yangu,mziki wa kenya ambao ulisikika walau mara mbili tatu ni femi one na mejor.hiyo lewa haitumiki na watz ila ni wakenya wenzenu maana video zinachanganywa huwezi chagua uone za ncgi ipi.
Sai kuna wabongo wanafanya mpka reaction ya gengetone youtube, yani hyo ndio ishapenya hvo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Thats business[emoji1787][emoji1787]
Kwanza tanzania kuna ma DJ kweli..
Km wapo tupia link moja nijaribu kuwaskiza, manakw siwaju na wala sijaona mixtapes zao
Hongereni kwa kuchagua kuimba bongo flava 😂😂😂
 
Sai kuna wabongo wanafanya mpka reaction ya gengetone youtube, yani hyo ndio ishapenya hvo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]labda ungeangalia views ndio utajua ni kuhangaika wanahangaika.
 
Si wewe ndio umesema bati juu ndio slum, sasa 80% ya dar ni hvo[emoji1787][emoji1787]
Unakataq nini sasa au vile umeona meza imepinduliwa
Hahahaha Kenyan homes ni full suit iron mzee au umesahau? 😂😂😂😂

Ikiwa imeboreshwa zaidi inakua na muddy walls juu imekula rusted iron sheets matata 😂😂😂
 
Hahahaha Kenyan homes ni full suit iron mzee au umesahau? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ikiwa imeboreshwa zaidi inakua na muddy walls juu imekula rusted iron sheets matata [emoji23][emoji23][emoji23]
Km hizi hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20201212-010918_YouTube.jpg
Screenshot_20201212-010823_YouTube.jpg
 
Tanzania sehemu kubwa ni misitu, mbuga,mashamba nk thats why nyote mumejazana dar
na wala hatujajaa kiivyo,au nikupe uwiano wa eneo na idadi ya watu ulinganishe na nairobi[emoji38][emoji38][emoji38].
 
[emoji23][emoji23][emoji23]labda ungeangalia views ndio utajua ni kuhangaika wanahangaika.
Jamaa mpka wanatamani waelewe maana ya yale maneo ya sheng hadi kufundishwa na wakenya katika comments..
Yani ishapenya hvo ujue tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom