mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,516
hope bado mko na watu wale wale kwa eneo lile lileMbona tulikua sawa jamani, imekuwaje majirani![]()


.hope bado mko na watu wale wale kwa eneo lile lileMbona tulikua sawa jamani, imekuwaje majirani![]()


.leta hizo data kwanza halafu ujieeleze kama population yenu ipo stagnant toka 2019!Hahahaha!!data za census hazijui huo udubwasha wako
Mnaenda kwa kasi sana jamanihope bado mko na watu wale wale kwa eneo lile lile.




Km vile nyie ipo 60m tangia magu aingieleta hizo data kwanza halafu ujieeleze kama population yenu ipo stagnant toka 2019!
nchi mnanjaa mpaka leo miaka 57 baada ya Uhuru mtakuwaje na idadi sawa na sisi tunaowalisha?Kenya na Tanzania zilikuwa na similar population size wakati wa uhuru. Lakini baada ya uhuru hawa jamaa waliamua kuraruana sana.
hamtumii akili tu.1960 kenya na tanzania population zilikuaje
Nadhani ukisha google ndio utaelewa kwn tunasema mnazaana kiholela tu
Mimi naongea kuhusu data ya census na wewe unanipa huu utopolo?Kenya is exactly 0ver 54 mln people as of December 19, 2020!
- The current population of Kenya is 54,315,808 as of Saturday, December 19, 2020, based on Worldometer elaboration of the latest United Nations data.
![]()
Kenya Population (2026) - Worldometer
Population of Kenya: current, historical, and projected population, growth rate, immigration, median age, total fertility rate (TFR), population density, urbanization, urban population, country's share of world population, and global rank. Data tables, maps, charts, and live population clockwww.worldometers.info
Ndio manake kila watoto wao wanapokua wakubwa wanawaza kwenda dar kujenda dream house yake abaki hko hkoKenya na Tanzania zilikuwa na similar population size wakati wa uhuru. Lakini baada ya uhuru hawa jamaa waliamua kuraruana sana.
hii nchi itatakiwa tufike kama 100mln hivi ndio tuanze kufikiri namna ya kupanga uzazi.Mnaenda kwa kasi sana jamani
2025 mtakua mbaelekea 80m![]()
Hampo top five katika nchi tunazonunua vyakula, unabishanchi mnanjaa mpaka leo miaka 57 baada ya Uhuru mtakuwaje na idadi sawa na sisi tunaowalisha?
Nyie hamjengi brt,mwajenga tu stations🤣🤣ila ONLY BRT iko palepale..Hahaaa!!basi hapo wajiona eti umenikamata, we sema tu km hutaki tujenge BRT uende mahakama ya EAC ukapinge jomba.
Ila majungu kw sasa hayatokufikisha kokote pale
leta hizo data!Mimi naongea kuhusu data ya census na wewe unanipa huu utopolo?
Kwa hivyo kwa sababu mna ardhi kubwa kutushinda kwa hivyo mna ruhusa ya kuraruana mnavyopenda bila kupanga uzazi? Aisee pangeni uzazi majirani.hamtumii akili tu.
tulikuwa sawa ndio,leo tumewazidi watu 10ml,eneo tumewadouble,tena eneo lenye faida sio kame.
Hapa mada mnazaana km panya tuhamtumii akili tu.
tulikuwa sawa ndio,leo tumewazidi watu 10ml,eneo tumewadouble,tena eneo lenye faida sio kame.


Nenda mahakamani ukamshtaki basiNyie hamjengi brt,mwajenga tu stationsila ONLY BRT iko palepale..


hakuna taifa kubwa lenye idadi ndogo ya watu,ndio maana hata SA saa hizi ishashuka no 3 huko.Kwa hivyo kwa sababu mna ardhi kubwa kutushinda kwa hivyo mna fursa ya kuraruana mnavyopenda bila kupanga uzazi? Aisee pangeni uzazi majirani.
umasikini ni kuogopa kuzaa maana huna uhakika wa kula,kuvaa wala kulalaHapa mada mnazaana km panya tu
Usinipe mawazo ya kimaskinini mimi



Kenyan homes, international tourism attraction 😅😅😅
Akili za kulemaa hzo mzes tonyKwa hivyo kwa sababu mna ardhi kubwa kutushinda kwa hivyo mna ruhusa ya kuraruana mnavyopenda bila kupanga uzazi? Aisee pangeni uzazi majirani.