Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hawa jamaa huaga wanaiogopa san mombasa..
Wanashangaa mbona vipi hawaelewi, ila inabidi serekali watutafutie suluhu bana kw hii barabara ya buxton bondeni..

Yani mida mingine gari ni nyingi mpka inabidi inafanywa kuwa one way mida ya jioni banaView attachment 1654287
Usijali mwakani hii bridge inakuja kutatua haya
images (62).jpeg
 
KEVIN MEENAN. Yani wasani wenu wanakuwa promoted na wakenyaView attachment 1654223
Hehehee!!naona umeamua kuwaumbua, hyo kitu tunajua na diamond mwnywe keshasema sana kuhusu mchango wa wakenya katika mziki wake..
Ila nashngaa vibwengo bado wanataka kujisifia wao tu..

Ni yale yale ya vile vita vyao vya collabo lkn sasa wanajisifia wao hku wakijifanya hawawajui washirika waliosaidiana
 
Hili pia kalisema mondi mwnywe
Wapumzishe sasa hao wazembe wakujisifia vitu tu bila kujua uhalisia wake
kwahiyo nyinyi hutoa msaada kwa wasanii wa tz pekee.

wenu hamuna muda nao!!!!

haya tuna millard ayo mwenye viewes 1bln views in youtube,hapo kuna wakunya wangapi.
 
kwahiyo nyinyi hutoa msaada kwa wasanii wa tz pekee.

wenu hamuna muda nao!!!!

haya tuna millard ayo mwenye viewes 1bln views in youtube,hapo kuna wakunga wangapi.
Unajua play kenyan music ilianzishwa kw sababu gani
Naona sai mpka imeathiri show za diamond kenya mazee
 
Unajua play kenyan music ilianzishwa kw sababu gani
Naona sai mpka imeathiri show za diamond kenya mazee
tatizo huwanafanya league wenzenu tunaishi kawaida.

mko na play kenya music,views za diamond zinazidi kwenda hewani.
saa hii tuko kwenye challange ya 100mln views per song,nyie endeleeni na play kenya music.

halafu nyimbo zenyewe ndio zile za lewaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom