Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo umepata mtu wa kuchukua korosho zako?[emoji23][emoji23] Mtu ameniambia wewe ni delivery guy. Are you working on commission or what? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] What are the terms of payment?
Hahahahaaa ndo raha ya kujiajiri hyo yn unafanya mambo makubwa na bado unapata time ya ku relax kwa games [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How old are you
Kwmb kukuonesha mafanikio niliyofikia ndiyo nmefanya kosa, apo nakutia uchungu ili na ww upambane utoke kwenye slums upate japo kibanda km changu a.k.a ka dream house, mbn cmpo tu be serious arrange ur time properly, if u believe u can archive, just simple like that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehehhe 🤣🤣🤣wapi na wapi
A0A7A965-FB19-4FAA-A08F-0ED27423803C.jpeg
1D4A0176-0651-4E8C-A661-5D37054912BC.jpeg
 
Kwmb kukuonesha mafanikio niliyofikia ndiyo nmefanya kosa, apo nakutia uchungu ili na ww upambane utoke kwenye slums upate japo kibanda km changu a.k.a ka dream house, mbn cmpo tu be serious arrange ur time properly, if u believe u can archive, just simple like that.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe hapo unajikuta bongole la mshua, kumbe hzo siku zote hukua na nyumba sio..
Yani unakuja hapa kuturingishia na nyumba ya nusu milioni..

Nyie ndio wale mkipanda kidogo mnapost
 
Leads in military where? Jeshi halijawahi shinda vita liongoze nn kwa mfano [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn tanzania mlipigana vita lini mkashinda
Manake kenya tumenyakua majimbo kadha aya alshabab tena bila ya msaa wa yyte yule..

Jubaland sai wanaishi kw amani wala sio km zamani baada ya kuwakeketa mashababi na kuwafabya wakimbie..
 
Alshabab gani unayoongelea wewe🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

Na wewe hapo unajikuta bongole la mshua, kumbe hzo siku zote hukua na nyumba sio..
Yani unakuja hapa kuturingishia na nyumba ya nusu milioni..

Nyie ndio wale mkipanda kidogo mnapost
Hahahaaaa, cc sio watu wa show off, hebu angalia hiyo picha nimepiga lini na nimeipost lini, ila nimeona mkunya mwenzako kaniletea zarau kisa mm ni gamer ndo mana nikamuonesha ila ukitaka kunifahamu vzr nitakuja pm ili nikufanye na ww uache zarau km [emoji205] mwenzako [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwn tanzania mlipigana vita lini mkashinda
Manake kenya tumenyakua majimbo kadha aya alshabab tena bila ya msaa wa yyte yule..

Jubaland sai wanaishi kw amani wala sio km zamani baada ya kuwakeketa mashababi na kuwafabya wakimbie..
Wakenya mnazarau sn hahahaaaa eti nyumba ya nusu milioni yako ya milioni 200 iko wapi, ila nyie dawa yenu km anavyowafanyia ichoboy anawapiga on air zen anawapiga on ground mnabaki kulia lia tu maamaee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom