Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema mkuu icho kwa spana[emoji373][emoji373], hutaki kabisa hao watu wapumue
He he he!View attachment 1653707
Tanzania ni Tamu sana kwenye landscape and photogenic

Hii ni Rorya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

images - 2020-12-14T200222.959.jpeg
 
Kenyan Clubs will never be at the Level of Tz Clubs, Never
You fools mlichezeshwa na Kikosi C cha simba halafu nnajipiga Kifua eti, yaani Club Kubwa kama Simba aache kupumzisha wachezaji wake akomae na Mabonanza?
See what Simba does to Big clubs, that No Kenyan club can have such Record of Home ground for the past seasonsView attachment 1653776View attachment 1653778
I thought you are comparing Kenya and TZ
Last time I checked Simba always losses when they play Gor Mahia..
Yanga ata ndio usitaje, they always loose by ALOT 😃😃.
 
That is how you end up with dream houses!!! How about you show us the final product??? Residential real estate in Kenya is very organized. Nyumba kufanana haimanishi ni za kupanga!!!








Kwaiyo unataka kuaminisha watu kwamba nairobi residence ni 1kmsquare.

maana unapost video tano za acre 5 kila moja unajisifia nairobi iko well organised,

je hii chini sio Nairobi??
images (54).jpeg
images (53).jpeg

images (50).jpeg
images (51).jpeg
 
Wewe hujajiajiri, umeajiriwa[emoji23][emoji23][emoji23], na kazi yako ni kufanya marketing and delivery. Hivi unatumia baiskeli ama mguu ukifanya delivery?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa ndo raha ya kujiajiri hyo yn unafanya mambo makubwa na bado unapata time ya ku relax kwa games [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is Kibera....nobody owns land in Kibera. And it’s only 2.5square meters. You can clearly see where it starts and where it ends. Dar on the had 80% is a ghetto
Mh. Ivi huyu anajua maana ya 2.5square meter?

Yani hata kiti cha kukalia ni kubwa kuliko iyo 2.5 s.meter,

By the way iyo sio kibera pekee kuna kakamega hapo na sehemu nyingine pia.

Iyo ni sawa mimi nipost picha za upanga na mbezi nisifu kwamba dar iko well planned.
 
That is Kibera....nobody owns land in Kibera. And it’s only 2.5square meters. You can clearly see where it starts and where it ends. Dar on the had 80% is a ghetto
Hii nayo ni kibera? 😅😅😅
Halafu mnavyosema that's kibera huwa mna maana gani? Kwamba sio Kenya au?

Hii ni kibera?
2478035_IMG_20200805_163234.png
2588824_tapatalk_1591039024611.jpeg
2475606_C8FC9A73-ED14-432B-83CE-40201F6D98C3.jpeg
 
Back
Top Bottom