Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_4024.jpg

IMG_4023.jpg

IMG_4022.jpg
 
Wac
Kw akili zako ipi floating bridge, nimeileta kusudi mkaparamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

WacHa kutuwekea render wakati bridge yenu imekwisha.
Screenshot_20201213-084313_YouTube.jpg


Be honesty ww hapo unaona inafanana na render????
Lakini pia unaoana inafloat??
 
Which majority are you talking about? Why are DMU's always full in every trip?[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikuambia Kenya is not for the poor especially Nairobi. If you want cheap things go to Uganda or Burundi[emoji1787][emoji1787][emoji23]
DMUs ni kwasababu mpya so wakenya wanatoa ushamba kwnz zen watarudi kwenye ma3[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani dream yako ni gypsum jamani[emoji1787][emoji1787]
Mbna kitu cha kawaida hicho
Hehehehee onesha yako tuone, yn kila kona urembo wa gharama alafu nyani iendelee na dharau za kuita watu watoto wkt kuna mda tunafanya enjoyment pale tunapopata muda, na co uone mtu anacheza game ukadhani ni size yako [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
IMG_20201217_132224_816.jpg
IMG_20201217_132241_512.jpg
IMG_20201217_132002_464.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema nn.. kile wanachoita ‘BRT’ huko kwao kenya ikikamilika.. then BRT yetu ikawa inaendelea kushinda awards ndo wataelewa hatupo level nao sawa.. SA & Nigeria wana BRT lkn BRT yetu ndo inashinda awards [emoji1628][emoji23][emoji23]

narudia
SA & Nigeria wana BRT lkn BRT yetu bado ndo inashinda awards!!!
Hawapendi kusikia habari hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom