Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wezi ,choriichoriii kipte
kama uyo wa nyuma anaonekana kibaka kabisa
20201218_005145.jpg
 
Likoni floating bridge is the only floating bridge in East and Central Africa.
Kwann usiseme tu pedestrian bridge hakuna gari inapita hapo sijui unanielewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wala hakuna cha floating hapo rudini mukamuulize kenyatta
 
Kila la kheri majirani zetu Sisi hatunaga majungu kama nyie🤣🤣🤣
Hahahaha wakitaka kujenga BRT waifumue thika yote nje ya hapo BRT wataskia kwenye makalio yao 🤣🤣🤣🤣🤣

watabakia na kale kaneno sisi tunajenga miaka mitatu leo siku hzi huskii wakiongelea tena 😅😅😅
 
Back
Top Bottom