Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

that was the point.

unapiga kelele hapa wakati ground ni kushikana shati,angalia hapo pembeni ya reli palivyokaa[emoji2][emoji2].

i hope sio kibera hapo.
So You are consoling yourself with an old video?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Something that happened even before the rail tracks were upgraded?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
So You are consoling yourself with an old video?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Something that happened even before the rail tracks were upgraded?[emoji23][emoji23][emoji23]
labda ukatae hapo sio nairobi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
ndio utapata nafuu,ila si kusema eti hiyo video ni ya zamani.[emoji38][emoji38]
Kwani wewe huoni ni ya Zamani?[emoji23][emoji23][emoji23] The New Nairobi Commuter Railway System imeanza kazi lini?[emoji23][emoji23]
 
Wewe unajua kusafisha kiatu pair moja ni pesa ngapi?[emoji23][emoji23]
matajiri wa kunya [emoji23][emoji23]
20201214_144111.jpg
 
Expressway ya mchina kwa miaka 30 akiwalipisha ushuru hata mlevi atakubali 🤣🤣🤣🤣🤣
Na wachina walivyo washenzi muda wa kuilpa deni ukikaribia kumalizika watasabotage hiyo express way hili waikarabati kwa gharama zaidi na hivyo ku-extend muda wa kulipa deni. CHEZEA MCHINA WEWE!
 
Back
Top Bottom