Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Arema ofcourse Chinese standard anaacha Kenya!Atajenga Arema ama Chinese standar?
Arema ofcourse Chinese standard anaacha Kenya!Atajenga Arema ama Chinese standar?
Kwn we umeshaolewa tayariutulie ungoje kuolewa ,,,,,
japo inaonyesha una gundu wazee huwa tunachapa na kupita zetu[emoji2][emoji2][emoji2]
Jiji linazd ku take its shape, miaka michache ijayo tunakwenda kuifundisha Afrika jinsi ya kupanga miji [emoji2][emoji2][emoji2]
Ana wazimu yule [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani hukumbuki huyo namba 3 kwenye hiyo list aliandika humu kuwa ana edit google map aondoe slums Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mkenya mwenzio unamkataa, wallahi vitasa vimekuchanganya sn [emoji205][emoji205][emoji2][emoji2]Nairobi picha za Nairobi zimekubamba[emoji23][emoji23]
Yako wapi ss[emoji2][emoji2][emoji205][emoji205]Here is the location of the two towers being constructed 17frl and 20frl
View attachment 1651024
So walioandika report hawana akili 🤣🤣 kua tanzania imetengeza 46k jobs na kenya 16k jobs hvi kwani ww ni mgeni kwenye swala la unemployments ???😅😅😅Piga mahesabu hapo alafu uone ni nani ambae katengeneza kazi nyingi 2019
Nyie si hamtaki bus station nyie inakuaje tena [emoji205][emoji205][emoji2][emoji2][emoji851][emoji851]Wanajenga bus stations [emoji2960][emoji2960]
Ww akili huna wewe ndio maana hua sikushangai🤣🤣🤣🤣Here is the location of the two towers being constructed 17frl and 20frl
View attachment 1651024
Hakuna jengo la wizara hapo, hayo yote ni majengo ya national housing na city councilTanzania mahali kuitwa city ni majengo ya wizara mbali mbali alafu tosha
Wakunya amkeni amkeni kumekucha ukuu[emoji3516][emoji3516][emoji2][emoji2][emoji2]
Kanchi kutoka north kalienda huko kulialia kapewe mikopo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mpka ya kujenga km5 ya rail aise[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Ona Kiongozi wa mfano Africa, hashoboki ila mabeberu wanamshobokea, hili ndio fundisho kwa viongozi wa ki Africa kwmb wajiamini wanaweza na wanaheshimika na sio kujirahisisha [emoji116][emoji116]View attachment 1651133View attachment 1651140
Tuna Kula bata tuna Kula ubwa ubwa wenzetu wanakula mlenda na matembele🤣🤣🤣🤣🤣
Wanajenga vighorofa vi3 wanasema wamekua construction site 🚧👷😂😂Wakunya amkeni amkeni kumekucha ukuu[emoji3516][emoji3516][emoji2][emoji2][emoji2]
Wanachekesha sana kwakweli, yn ile report ya Tz kuongoza kwa matumizi ya pesa ktk miradi ukanda huu wameamua kuachana nayo wanaenda na report ya vichwani mwao, eti Kenya iongoze ukanda huu kwa thamani ya miradi EA, over my dead body [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wanajenga vighorofa vi3 wanasema wamekua construction site [emoji616][emoji62][emoji23][emoji23]
Mda ndio utasema!!punguza jazba lkn
Huwa tunasema kwamba kizungu ni kizungumkuti kwenu na mnasema tuna dharau. Unaona sasa? You people can't even interpret and understand simple percentages.FDI Yetu imepungua ila tumetengeza 46k jobs nyie ..imepanda ila 16k jobs
Nani kanufaika sasa ...
Na hapo imepungua
Ndo maana unemployment yenu iko juu alwaysView attachment 1650969