Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,236
- 35,654
Juzi hapa mkaomba poo kwa ethiopia baada ya kuwatungulia videge vyenu kule somalia mkaona mumuite pm wao hapo kunyaland ili mumuombe asiwe anatungua ndege zenu zinazoenda kuuza mkaa somaliaSasa unataka tupiganie migingo kwani nini iko huko?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] We are aiming for oil wells along Somalia coastline wewe unakuja na mambo za migingo, huko hatuezituma hata watchmen[emoji23][emoji23]
Wamejenga vinguzo..Kisha wakaweka chuma juu..HV nawauliza Wakenya wanajua maana ya kufloat( kuelea)?Ila mchina Mungu anakuona 🤣🤣👇👇 dahhh ohh sisi nye nye nye hii ndio kitu ya 1.7b ksh
View attachment 1646411
Kenya au Congo typicallyHahaha[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa denial mpo..
Yani hawa jamaa kw kupinga tu hawajambo..
Mi wala sicheki hzo nyuma ila nawashangaa wazee wa tz wanaokata kila siku km kwao hakuna nyumba za ubati juu chini..
[emoji116][emoji116]View attachment 1647676View attachment 1647677View attachment 1647678View attachment 1647679View attachment 1647680
Check interview yake kaeleza wazi, Tanzania hakuna nyumba za Kenya, hahaha yaani joto la Dar watu waishi kwenye Kenyans houses how? 😅😅😅Cc:Teargas kuna jamaa hku kasema hapo ni congo, amekua msemaji wa hao wasanii [emoji23][emoji23]
So Likoni unaweza sogea mbele ?Kama hujui maana ya floating bridge sema tu[emoji1787][emoji23][emoji1787]Likoni floating bridge ni number two.View attachment 1647303
Inaopen na kufunga..it doesn't move..kindly hide your ignorance.Kumbe hujui kuwa hiyo bridge inamove?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787] How do you think ships will pass there? Cause hapo ndio njia ya meli.
Kwanza Nawashangaa wanao kujibu Kilaza kama weweThis is the military poverty I was talking about[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Umeona venye mko na silaha zimezeeka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Nilisema humu hoyo machozigesi Wa Tz tunafeli sana kuendekeza ujinga wake. Coz mara aseme ni Jeshi la kenya mara baada ya kukamatwa kua amesema uwongo saivi anasema tena military poverty na ushuzi wake.. yoh Tz we gotta do better with this dudeKwanza Nawashangaa wanao kujibu Kilaza kama wewe
Yaani Unakula Matapishi yako mwenyewe ! Kha
Na huo uswazi 80% of dar,,bado mwajivunia😄😄Hakuna shida ya maji katika miji na majiji, mijini maji ni 85% vijijini ni 74%. Hatuna shida ya chakula, tunazalisha zaidi ya mahitaji yetu na tunawauzia chakula, hatuna shida ya slums, hatuna shida ya crime wala rushwa, hayo ndio mambo ya msingi kwa binadamu, sio majumba marefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasanii wetu wana hela,we unadhani akina marioo ni kama akina hao wasanii wenu njaa kaliCongo wapi[emoji23][emoji23]
Manake siku hzi singeli video wana shoot congo
Hahahaha, hizo ni ndoto za mtu anayeishi Kibera na kukunya ndani ya chumba anacholala katika ndoo hadi asubuhi ndio atoe mavi na kuyatupa[emoji23][emoji23][emoji23]Na huo uswazi 80% of dar,,bado mwajivunia[emoji1][emoji1]
Unataka kujifunza kiswahili hapahapa jf😂😂😆🤣👆👆Msitu ni nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa denial mpo..
Yani hawa jamaa kw kupinga tu hawajambo..
Mi wala sicheki hzo nyuma ila nawashangaa wazee wa tz wanaokata kila siku km kwao hakuna nyumba za ubati juu chini..
[emoji116][emoji116]View attachment 1647676View attachment 1647677View attachment 1647678View attachment 1647679View attachment 1647680
Leo umewapata[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Acha nisave hizo videos[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Cc:Teargas kuna jamaa hku kasema hapo ni congo, amekua msemaji wa hao wasanii [emoji23][emoji23]
Kwani hiyo kufunga na kufunguka ni kulala?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Do you know the meaning of movement?[emoji1787][emoji1787]Inaopen na kufunga..it doesn't move..kindly hide your ignorance.
Kwanza Nawashangaa wanao kujibu Kilaza kama wewe
Yaani Unakula Matapishi yako mwenyewe ! Kha
tupate wazamin kidogo....Kwani nimedanganya?[emoji23][emoji23][emoji23] Hizo silaha hazijazeeka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa denial mpo..
Yani hawa jamaa kw kupinga tu hawajambo..
Mi wala sicheki hzo nyuma ila nawashangaa wazee wa tz wanaokata kila siku km kwao hakuna nyumba za ubati juu chini..
[emoji116][emoji116]View attachment 1647676View attachment 1647677View attachment 1647678View attachment 1647679View attachment 1647680
Hahahaha, sijawahi kusikia jeshi dhahifu kama KDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]