ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kenya is a construction site.
Nimeona mumejengewa na jubilee ile floating bridge ya pale likoni nimecheka mpaka basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kenya is a construction site.
Ilikodisha au mulisaidia 🤣🤣🤣🤣 hebu tuweke waziYeah, including helping your government with helicopters[emoji23][emoji23]
Hawez kujua maana ukimuamsha alie lala utalala weiyeUnajua maana ya sandy soil?
Wacha wewe mavi, wacha mjadala uishe.Rudia kusoma post yako jinga wewe,una-post vitu halafu unasahau!! au una ubongo wa mbuzi
Kwasababu hamuna sasa hii munajenga ile utumbo munajenga ili iweje???🤣🤣🤣
Alie kuambia hatuna ni Nani? Aisee sio kila mtu anapenda sifa kama nyie🙂Maskini wa kutupwa from LDC hamuwezi kuafford Ndege za aina hii.
Just look at this brand new birds za jeshi la Kenya. Omba omba wa LDC kama Tanzanian hamuwezi kuafford Ndege kama hizi
Hizi hapa ni Transporters za Kenya Army
View attachment 1645996View attachment 1645996
Hapo alikuwa makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(ccm) hakuwa vice presidentWas this not your vice President?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]View attachment 1645998
Vya Iran tu vinaonekana, itakuja vya tanzania[emoji23][emoji23]Nizitoe wapi hvi ww unafkiri vifaa vya jeshi vinaonekama ovyo ovyo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha analazimisha hali iliopo Kenya iwe Tanzania, hajui geographia ya Tanzania na yao ni tofauti sana.Hawez kujua maana ukimuamsha alie lala utalala weiye
Jamani jamani jamani!!Hapo alikuwa makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(ccm) hakuwa vice president
Soma vizuri hiyo article,wamekuambia mgombea mwenza kupitia chama cha mapinduzi,na si makamu wa raisi,kiprotokali hapo hakuwa makamu(kiongozi wa serikali as you claimed),hapo alikuwa ni kiongozi wa chama cha mapinduzi..Habari ndio hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1646049
Ni kweli bro arguments zingine ni Bora ukapotezea😃😃😃😃maaana majirani zetu wanapenda sifa Sana na vitu vyote vipo kwao tu 😂😂😂Hahahaha analazimisha hali iliopo Kenya iwe Tanzania, hajui geographia ya Tanzania na yao ni tofauti sana.
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo achana nae ndio kilaza wa sayari hii aliebakiaSoma vizuri hiyo article,wamekuambia mgombea mwenza kupitia chama cha mapinduzi,na si makamu wa raisi,kiprotokali hapo hakuwa makamu(kiongozi wa serikali as you claimed),hapo alikuwa ni kiongozi wa chama cha mapinduzi..
Mombasa now is construction hub,, Bridges after. Bridges,,now here we go Makupa bridge
View attachment 1646106
Vitu kama hivyo ukiwa katika failed state huwezi kuvielewa kamwe..Jamani jamani jamani!!
Kwhyo hapo ilkua mshahara umeshashakatika[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo alikua hata security pia hana[emoji23][emoji23]Vitu kama hivyo ukiwa katika failed state huwezi kuvielewa kamwe..
Kwhyo nikikuletea tweet yyte ya zitto utaikubali[emoji23][emoji23]Mm nakwambia ziko 13 hzi na zilinunulia na serekali mapaka kina zitto wakawa wanalalmika ww unaniletea porojo Teargass [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nakwambia ziko 13 hzi na zilinunulia na serekali mapaka kina zitto wakawa wanalalmika ww unaniletea porojo Teargass 🤣🤣🤣
Unapata wapi ujasiri wa kujiita una akili na huku ufukara inakuandama??!?..watu wenye pesa wooote wana akili,kama huna akili huwezi kuwa na pesa dogo,jielimishe hiyo ni fact