Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuonyeshe helicopters zingine nne with a different registration number[emoji23][emoji23][emoji23], ukinionyesha nahama jf.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Siku mutapata airbus za hvi unitag 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 ziko zaidi ya 13
6921AA06-9828-499B-9E0C-19ECB6C8C57E.jpeg
 
See how foolish you are. Every beach is always sandy, sasa wewe unaniletea picha ya beach hili tu uprove point yako[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Ndio asili ya Ruvuma by the largest part, of course hata Mwanza na mikoa yote Lake Zone ina sandy soil, though hata mikoa mingine isio na ziwa nimeona ikiwa na sandy soil.
 
Si ulikuwa unataka kuona kiongozi wowote mwenye alipanda hiyo ndege?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23], Sasa mbona unachange gear?[emoji23][emoji23][emoji1787]. Naona leo mmekaza matako kama Magufuli[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
So akapanda akaelekea wapi hebu tupe habari kamili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_16075909741316646.jpeg
 
Sasa umekubali kuwa viongozi wenu walitumia hiyo chopper?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122]
Chama na wako kwenye kampeni hawawezi kutumia ndege za serekali kwasababu wako kwenye kampeni hata siku moja
 
Kama unapinga ebu leta picha za military helicopters zaidi ya nne with different registration numbers[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Nafkiri ww ndio ulifanya mambo ya procurements [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chama na wako kwenye kampeni hawawezi kutumia ndege za serekali kwasababu wako kwenye kampeni hata siku moja
Usikimbie, rudi tu hapa tumalize hii mambo[emoji1787][emoji1787][emoji23]. Si ulisema kuwa hakuna kiongozi mwenye alitumia hiyo ndege? Ama sio wewe?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Umekosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hutapata hio ilikodiwa na chama na haikutumiwa na kiongozi yoyote hata wa chama
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji23]Upepo umebadilika[emoji23][emoji23][emoji23]
Chama na wako kwenye kampeni hawawezi kutumia ndege za serekali kwasababu wako kwenye kampeni hata siku moja
 
Back
Top Bottom