Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna akili wewe, mbona Tony254 ameelewa nilichotaka kumaanisha, huwezi kudebate na watu wenye uwezo mkubwa wa akili, huwa tunakubeba tu lakini uwezo wako wa akili ni mdogo sana, ina maana umeshindwa kuelewa nini nimemaanisha?
 
Huna akili wewe, mbona Tony254 ameelewa nilichotaka kumaanisha, huwezi kudebate na watu wenye uwezo mkubwa wa akili, huwa tunakubeba tu lakini uwezo wako wa akili ni mdogo sana, ina maana umeshindwa kuelewa nini nimemaanisha?
Unaongelea (nonsense) kitu enye hata haiko kwa article na unajigamba hapa ati huko na akili kubwa, wewe labda huwe na kichwa kubwa na siyo akili kubwa😂😂
 
Unaongelea (nonsense) kitu enye hata haiko kwa article na unajigamba hapa ati huko na akili kubwa, wewe labda huwe na kichwa kubwa na siyo akili kubwa[emoji23][emoji23]
Akili kubwa inapimwa kwa uwezo wa lufanya "independent analysis not quotations", kama nilivyokuonyesha "how Lamu port shall turn to be white elephant".

Unanishangaza sana, umeshindwa kuelewa nini nimeandika wakati ninazunfumzia gharama za BRT Tanzania kwamba ni$180M, kwamba kama ingekua Kenya huenda gharama ingekua ni mara mbili ya hiyo $180M, unaleta habari za $51M ambayo haijatajwa kabisa katika hiyo post yangu. Hovyo sana wewe jamaa.
 
Mbna hamueleweki jamani, mara mnakaataa hyo sio BRT sai unakuja kivingine unasema haiwezekani ikawa flyover..
Yani mchawi ni mchawi hata atibu lazima atarudi kule kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…