Nairobi kupata kitu inaitwa BRT sio leo wala kesho mpaka mufumue miundombinu mingi sana ambayo itachukua gharama kubwa sana ukizingatia thika yenyewe ni loan munalipa mpaka kesho 🤣🤣🤣🤣🤣Wewe you are too primitive for me to argue with. Wacha nidebate na joto la jiwe
It was almost $180M for 21km long, remember Tanzania our projects are not overpriced like Kenya, would it be in Kenya, the price would be twiceWhat was the cost of your BRT phase 1 alafu ulinganishe hiyo bei na hizi porojo unatema hapa[emoji23][emoji23]
Yes, 90% it is white Elephant. Ethiopia needs to pay Chinese loan, it cant use Lamu port because.Lapsset ni white elephant[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
Mwanzo mzuri,tuwaombeeNdio bus stand zao hzi🤣🤣👇👇
Hawa ndio watu wanajisifu wamesoma View attachment 1645287View attachment 1645288View attachment 1645289
It was almost $180M for 21km long, remember Tanzania our projects are not overpriced like Kenya, would it be in Kenya, the price would be twice
Soma vizuri, madaraja ya kuvuka kwa miguu ni part ya hiyo Thika road BRT, ni sehemu ya hiyo Ksh 5.6B. Sisi tulijenga 21Km ya kawaida bila eleveted hata kidogo kwa $180M.Nairobi expressway ni 27km halafu ni 6 lanes. Wacha kuchanganyikiwa joto. Halafu daraja ya wanaotembea kwa miguu is not part of this project. Usichanganyikiwe.
Please remind me the cargo handled in Tanzanian all ports as compared to Mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]Yes, 90% it is white Elephant. Ethiopia needs to pay Chinese loan, it cant use Lamu port because.
1)It must use its railway to Djibout to pay the Chinese loan, the same way Kenya forces all cargo to be carried by SGR
2) It is cheap to use railway than road.
3)Eritrea port is much closer than Lamu port.
We jamaa rudi shule ujifunze kusoma[emoji23][emoji23][emoji23]. Hakuna pahali pedestrian bridge inajengwa kwa hiyo project ya BRT hata moja, the contractors will only use the existing footbridge structures to put up the BRT stations.Soma vizuri, madaraja ya kuvuka kwa miguu ni part ya hiyo Thika road BRT, ni sehemu ya hiyo Ksh 5.6B. Sisi tulijenga 21Km ya kawaida bila eleveted hata kidogo kwa $180M.
Hiyo Nairobi Express way bajeti yake ni kiasi gani?
Nairobi expressway ni takriban ksh 67 billion.Soma vizuri, madaraja ya kuvuka kwa miguu ni part ya hiyo Thika road BRT, ni sehemu ya hiyo Ksh 5.6B. Sisi tulijenga 21Km ya kawaida bila eleveted hata kidogo kwa $180M.
Hiyo Nairobi Express way bajeti yake ni kiasi gani?
Hiyo loan itatuzuia kujenga BRT?[emoji23][emoji23][emoji1787]Nairobi kupata kitu inaitwa BRT sio leo wala kesho mpaka mufumue miundombinu mingi sana ambayo itachukua gharama kubwa sana ukizingatia thika yenyewe ni loan munalipa mpaka kesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyinyi hamkupigania uhuru. Nyinyi tuseme tu mlipewa uhuru.
Eleveted part ni only 11km, hii barabara haina vituo na bado itagharimu $700M, vipi unadhani $51M inaweza kujenga eleveted BRT?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nairobi expressway ni takriban ksh 67 billion.
Mimi nimekujibu. Sasa wewe nijibu, Ubungo flyover ni kilomita ngapi?Eleveted part ni only 11km, hii barabara haina vituo na bado itagharimu $700M, vipi unadhani $51M inaweza kujenga eleveted BRT?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunyaland ni full corruption,ukiambiwa pesa iliyotumika hapo unaweza kukimbiaNdio bus stand zao hzi🤣🤣👇👇
Hawa ndio watu wanajisifu wamesoma View attachment 1645287View attachment 1645288View attachment 1645289
We ndio wakunitumia nauli mm[emoji23][emoji23][emoji23]Nakutumia nauli uje Bongo [emoji39]
Hahaha, baada ya kukuonyesha ni vipi Lamu port itakavyokua white elephant, umehamisha goli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Please remind me the cargo handled in Tanzanian all ports as compared to Mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ubungo interchange imefikaje huku?Mimi nimekujibu. Sasa wewe nijibu, Ubungo flyover ni kilomita ngapi?
Mbna za kawaida tuTanzania tupo level nyengine just imagine hizi ni gari wafungwa Tanzania.View attachment 1645046
Jibu swali, ports zenu zote zinahandle cargo ya MT ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, baada ya kukuonyesha ni vipi Lamu port itakavyokua white elephant, umehamisha goli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]