Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EotvTYIWEAA_qYi

EotvT4ZXIAIzLMy

EotvUdQWMAIc5uV

EotvU-BW4AIiXvJ

EotvU-BW4AIiXvJ
 
Is like ushajua penye ulikosea. I would advise you to try and learn about these terms so that next time you don't embarrass yourself
Pronunciation
Accent
Synonyms
Antonyms
According to Kunyans, knowing English is an indicator of being educated person which is very pathetic thought.

English is just like any other language on Earth, I know how to communicate using this language whilst I don't feel superior than the one who doesn't know cz I am not a mediocre like u.
 
You are still showing us your foolishness. Pronunciation is always the same anywhere in this world, what you are talking about is accent. I'm sure you didn't even know the difference between the two
Nyie wakunya hamjawahi kuwa perfect kwa kitu hata kimoja hata English mnayojidai pia kumbe hamjui. Kama ilivyo Accent pronunction haijawahi kuwa sawa pia.
Inatofautiana kutoka sehemu na sehemu. America, British, Africa,Asia English speakers they differ in some word pronunciation.

Mf. The word schedule lina pronunciation tatu tofauti kutoka
america british na asia but still same meaning. Acheni kutulangua kwamba pronunction ni moja dunia nzima..

Kiswahili chenyewe kina pronunciation tofauti baadhi ya maneno ukiwa zanzibar ni tofati na bara pamoja na kenya..
 
Uko sahihi mkuu kuna accent na pronunciation zote hazifanani muhindi anaweza taja neno la kingereza ukahisi hujawahi lisikia kumbe ni amepronunce differnt. Ila bado yuko sahihi.

Mf. Dowry wahindi wanapronounce douere
British wanasema dowar
Usa daw'uaree
Yah pronunciation ni moja dunia nzima ila the way mataifa yana pronounce ni different.
Iyo ndo tofauti ya pronunciation na wote wako sahihi
 
Nyie wakunya hamjawahi kuwa perfect kwa kitu hata kimoja hata English mnayojidai pia kumbe hamjui. Kama ilivyo Accent pronunction haijawahi kuwa sawa pia.
Inatofautiana kutoka sehemu na sehemu. America, British, Africa,Asia English speakers they differ in some word pronunciation.

Mf. The word schedule lina pronunciation tatu tofauti kutoka
america british na asia but still same meaning. Acheni kutulangua kwamba pronunction ni moja dunia nzima..

Kiswahili chenyewe kina pronunciation tofauti baadhi ya maneno ukiwa zanzibar ni tofati na bara pamoja na kenya..
Acha ushamba wewe, unapo pronounce nemo vibaya hyo inakua tayari hujui lolote kuhusu matumizi ya hyo lugha..

Accent ndio hu differ na sehemu tofauti tofauti kutokana na matabaka mbali mbali
 
Ukisoma dictionary huwa wanakupa maana ya neno afu chini wanakupa pronunciation.

Na always wanakwambia hii ni british pronunciation au ni usa pronunciation au wanakupa zote so usimsikilize huyu mkunya hajui kitu.
Kujua ngeli lazima uwe na ability yakuongea kingereza with the correct pronounciation..

We km hujui ku pronounce ya lugha husika vizuri basi we unahesabika huijui hyo lugha kw ufasaha wala hakuna kitu km different pronouncitaion
 
Acha ushamba wewe, unapo pronounce nemo vibaya hyo inakua tayari hujui lolote kuhusu matumizi ya hyo lugha..

Accent ndio hu differ na sehemu tofauti tofauti kutokana na matabaka mbali mbali
Nyie shule zenu sijui mnaendaga kufanya nini au ndo kujifunza huu ujinga... ivi unajua maana ya pronounciation??
 
Back
Top Bottom