Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndinda waambie hawa ng'ombe wa kibera waangalie vizuri hii picha upande wa kushoto waone kipande kidogo tu cha Kariakoo jinsi density ya buildings ilivyo jitosheleza maana wamezoea kuona picha za Kariakoo zilizopigwa kwa mbali sana juu.
Hapa hakuna tofauti na hii small part of Mombasa,hakuna cha ajabu
EYB-ZVNXgAECezW.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. View attachment 1644462View attachment 1644463
Nimeona hii picha ukiipost mara kwa mara ila unachojaribu kuprove hakiendani kabisa. Situations kama hizi zimekua zikitokea pale magari yanapokwama kwenye foleni na watu kusubiri kwa masaa due to either ajali au any other way inayoweza kusababisha deadlock. So kuna watu wakipiga hesabu mda waliosubiri then gari ikaja na yupo mbali na mlango uvumilivu unamshinda.
I am sure hata huko nairobi daladala zenu zingekua na madirisha yenye ukubwa wa kutosha kama yetu watu kama hawa wangekua wengi sana
 
Your excuses doesn't make sense[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Nimeona hii picha ukiipost mara kwa mara ila unachojaribu kuprove hakiendani kabisa. Situations kama hizi zimekua zikitokea pale magari yanapokwama kwenye foleni na watu kusubiri kwa masaa due to either ajali au any other way inayoweza kusababisha deadlock. So kuna watu wakipiga hesabu mda waliosubiri then gari ikaja na yupo mbali na mlango uvumilivu unamshinda.
I am sure hata huko nairobi daladala zenu zingekua na madirisha yenye ukubwa wa kutosha kama yetu watu kama hawa wangekua wengi sana
 
Tunarudi pale pale pa level na floors ni maneno mawili yaliyokua na maana sawa au?[emoji23][emoji23]
Hapa hukwepi hata ufanye nn, lkn ukijiskia kunengua nakuachia
Unaposema level unamaana gani ???🤣🤣🤣 na unaposema floor unamaana gani???

unakasirika kisa pangani ni two level ??😂😂
 
Nimeona hii picha ukiipost mara kwa mara ila unachojaribu kuprove hakiendani kabisa. Situations kama hizi zimekua zikitokea pale magari yanapokwama kwenye foleni na watu kusubiri kwa masaa due to either ajali au any other way inayoweza kusababisha deadlock. So kuna watu wakipiga hesabu mda waliosubiri then gari ikaja na yupo mbali na mlango uvumilivu unamshinda.
I am sure hata huko nairobi daladala zenu zingekua na madirisha yenye ukubwa wa kutosha kama yetu watu kama hawa wangekua wengi sana
Mwache ajipe matumaini 🤣🤣🤣🤣 ila sindano ziko pale pale zinamuumiza
 
Unaposema level unamaana gani ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na unaposema floor unamaana gani???

unakasirika kisa pangani ni two level ??[emoji23][emoji23]
Acha ni kufunze kiasi..
Kuna ground level na below ground level we bwege, nimekusaidia na wewe angalau ujue mambo wala sio kila wakati kujiropokea tu[emoji23][emoji23]
Acha kujitoa ufahamu hapa
 
So gorofa mkihesabu floors munaanza kuhesabu wapi???🤣🤣🤣 leo nafunzwa na kilaza kutoka kenya
 
Acha ni kufunze kiasi..
Kuna ground level na below ground level we bwege, nimekusaidia na wewe angalau ujue mambo wala sio kila wakati kujiropokea tu[emoji23][emoji23]
Acha kujitoa ufahamu hapa
So umekubali kua pangani ni two level sawa au sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha ni kufunze kiasi..
Kuna ground level na below ground level we bwege, nimekusaidia na wewe angalau ujue mambo wala sio kila wakati kujiropokea tu[emoji23][emoji23]
Acha kujitoa ufahamu hapa
Manake leo imekua theee level baada ya ubungo kukamilika huko nyuma haikua three level au ndio munaforce ili musitoe machozi 😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom