Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kati Kati ya mji
CRWXER.jpg
FX8DB2.jpg
C17723.jpg
 
Kujua ngeli lazima uwe na ability yakuongea kingereza with the correct pronounciation..

We km hujui ku pronounce ya lugha husika vizuri basi we unahesabika huijui hyo lugha kw ufasaha wala hakuna kitu km different pronouncitaion
Sasa mbona hata mashule ya ngeli wana British english na
American english

Unafikiri maneno yanatofauti pale kinachotofautisha ni pronunciation kwasababu hata ujifunze vipi huwzi kuwa na American English Accent lakini unaweza kupata pronounciation ukitaka kuwa ana accent inabidi uishi nao. Na ww pia unaweza kuwa na nigerian pronounciation hata ukiwa kenya lakini accent yao lazima ukae nao ili uizoee..

Swali dogo tu!! Ivi pronounciation ya Kenya na Nigeria nisaw???
 
Narudia tena, ukiona mtu ana pronounce neno vibaya basi ujue hyo lugha hana ufasaha nayo..

Tofauti ya American na British english wala sio pronounciation, sometime kaa ukiuliza ujuzwe mambo kadha wa kadha..

Their differences ni kwamba americans na british huaga kuna maneno wanayoyatumia wakimaanisha vitu tofauti na british au hta pia kutumia maneno tofauti kw kitu kimoja..
Kw mfano:Trunk/Boot
 
Nyie shule zenu sijui mnaendaga kufanya nini au ndo kujifunza huu ujinga... ivi unajua maana ya pronounciation??
Hzo shule ndio zinatufanya tuwaeke sawa katika mambo yetu hapa jf...usijali ukitaka kufunzwa we sems tu
 
Ndo mana walimu wa kenya sikuizi wamekosa sana soko bongo zamani walikua wanatudanganya sana sasa mwalimu aje anambie pronounciation ni moja dunia nzima si ntamuona chizi??
 
Narudia tena, ukiona mtu ana pronounce neno vibaya basi ujue hyo lugha hana ufasaha nayo..

Tofauti ya American na British english wala sio pronounciation, sometime kaa ukiuliza ujuzwe mambo kadha wa kadha..

Their differences ni kwamba americans na british huaga kuna maneno wanayoyatumia wakimaanisha vitu tofauti na british au hta pia kutumia maneno tofauti kw kitu kimoja..
Kw mfano:Trunk/Boot
wewe ni kajinga sana.
 
Back
Top Bottom