Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya hadi ushago huwezi pata vitu kaa hizo.
Hio ni culture ya wazaznzibari ushagoo kwao huko na siku hzi wameendelea sio kama zaman

Kenya utapata hzi chai maharage🤣👇👇 tena nairobi city center
4687297B-E6C6-4F31-9BE9-B52B2485B67D.jpeg
FEB91B08-2310-49A8-8C0B-472D5A8CC3B5.jpeg
4C5D92B7-27B4-4684-BCBA-5409509EA263.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] my ribs [emoji119]
View attachment 1644818
Na bado wakisikia Tz ina best public transport wanalia, kwa Tz ukiweka hyo gari eti watu wapande km public transport watu watabaki kushangaa lkn hata ukifanikiwa kupata watu wawili watatu hufiki mbali traffic wanakukamata, hutoboi na hilo fuso huku [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1644813hii kitu nilikua sijaielewa mpka nilipoconcetrate Hii SI NI FUSO..
Hawa jamaa wameamua kusafiri kwa fuso mjini TANDAMU wana modify kidogo basi wanajazwa ndani kama mizigo??
View attachment 1644816

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]🤣🤣🤣

hilo gari ni ISUZU boss.. angalia slope ya dirisha la kioo kwenye mlango hapo.. magar mengi ya ISUZU ndo yako hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

hilo gari ni ISUZU boss.. angalia slope ya dirisha la kioo kwenye mlango hapo.. magar mengi ya ISUZU ndo yako hivyo
Ss cc wanatujengea vitu vzr km hv alafu wao wanapanda ushuzi wa panzi.

Hawa jamaa wana lana sana hawa eti hivi vyuma wametengeneza wao a.k.a made in Kenya[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums-1651240360.jpg
JamiiForums1061575113.jpg
JamiiForums1004946363.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom