Without Tanzania markets, Kenyan companies shall collapse, they are here looking for big money, the same way people around the world go to USA, China and EuropeDon't you have Tanzanians who can design your buildings. Are you also aware that Rock City Mall was also designed by Kenyan?
. Anyway, enjoy Kenyan new Parliament building
View attachment 1644344



Ata USA wako nazo,,you wapoko just get exposed,mukikaa Sana hapo fishing village,,mtapitwa na wakati Sana na kubaki poor and lazy as usual
View attachment 1643666
Hiyo siyo sidewalk mazee ni median iliyowekwa vitofali badala ya majani.What will e say about this??
View attachment 1643958
We avatar yangu inakuhusia nn jamani, mbna hamjui ku mind vitu vyenu..we fuata kilichokuleta hapa..Kwaiyo hiyo pisi kali sio wewe ? Toto la Mombasa?
We huoni hapo singida ni padogi alafu panatumika km eneo la kumeesha mitiHiyo siyo sidewalk mazee ni median iliyowekwa vitofali badala ya majani.
Ni kama hii picha ya Singida.
![]()
Naona hii "coming on stage" kama kawaida yenu, mmeiba maneno ya kile kipindi cha zamani cha BET, kilichoitwa "coming to the stage" (2004).Haya Kamati za roho chafu jibambeniView attachment 1643879
BwahahahaaNimekuabia weka link tuone, Mwea inazalisha 80% ya mchele unaozalishwa Kenya sio unaotumika Kenya. Kenya huzalisha 150,000 MT za mchele kwa mwaka, mahitaji ya Kenya ni 600,000MT kwa mwaka.
Tanzania tunazalisha 4.6milioni MT, na mahitaji yetu ni 2.2milion MT. Yaani tunazalisha mara mbili ys mahitaji yetu, ule wa ziada ndio tunawauzia Zambia, Malawi, Rwanda, Kenya, Uganda, Burundi na nchi za mbali.
Who feeds you, controls you![]()




Hyo kasumba ndio tumeshaiweka shimoni, tafuta tanzania hapo ukiiukuta natoka jf..LOL unajua Tanzania Ina zaidi ya millions of irrigation acres of land na Tanzania ndio inalisha 75% ya mchele wa Kenya, 70% Uganda, 80% Rwanda, 70% Burundi, 40% DRC, 65% Zambia, 40% Mozambique, 89% Comoros, 35% Malawi, tunapeleka mchele mpaka Zimbabwe, Namibia
Your arguement sound pathetic, what a waste, big head with no brainAs others are celebrating a 9km kibaka road of 6 lanes, Mombasa is just Smiling about this 42km road with 8 lanes, a three level interchange and the second underpass in East and Central Africa.



Hata ndege pia wanakodi kutoka kenyaDon't you have Tanzanians who can design your buildings. Are you also aware that Rock City Mall was also designed by Kenyan?
. Anyway, enjoy Kenyan new Parliament building
View attachment 1644344
Ile picha ya wale "wakenya" wakitembea katikati mwa barabara na nyinyi mkidhani wapo kwenye "middlewalk" inaonekana kabisa wale jamaa ni wageni. Kisheria (US) hairuhusiwi pedestrians kutembea/kuvuka katikati ya barabara, hilo ni kosa la Jay walking, polisi akikukamata anaweza kukupa ticket (fine).We huoni hapo singida ni padogi alafu panatumika km eneo la kumeesha miti
Hahahah!!unafikiria USA ni nchi ya kitopolo, kule ma snitch kibao hapo km ingelikua hairuhusiwi hakungelikosekana mzungu kuvuta waya juu kw 911 ungeliona vile hao jamaa wangekisimamishwa na kupewa tiketi zao kwanza vile ni blacks..Ile picha ya wale "wakenya" wakitembea katikati mwa barabara na nyinyi mkidhani wapo kwenye "middlewalk" inaonekana kabisa wale jamaa ni wageni. Kisheria (US) hairuhusiwi pedestrians kutembea/kuvuka katikati ya barabara, hilo ni kosa la Jay walking, polisi akikukamata anaweza kukupa ticket (fine).
Hayo mambo ya kina "Karen" ku snitch huwa yapo kwenye suburbs, mjini kila mtu anapambana na hali yake.Hahahah!!unafikiria USA ni nchi ya kitopolo, kule ma snitch kibao hapo km ingelikua hairuhusiwi hakungelikosekana mzungu kuvuta waya juu kw 911 ungeliona vile hao jamaa wangekisimamishwa na kupewa tiketi zao kwanza vile ni blacks..
Achana na wazungu kw usnitch wewe, hata akikuona ume tress pass sehemu ambayo haimuhusu haswa bado atakupeana sana sana wanawake wao
Kumbe wayajua mkuuHayo mambo ya kina "Karen" ku snitch huwa yapo kwenye suburbs, mjini kila mtu na mambo yake.



Daaah wazee wa sifa nini kingine mlisaadia kutengeneza?😂😂😂😂Don't you have Tanzanians who can design your buildings. Are you also aware that Rock City Mall was also designed by Kenyan?
. Anyway, enjoy Kenyan new Parliament building
View attachment 1644344
Polepole utaelewa Kati ya matusi na utani nimemalizaSi ni wewe ndio unatusi Wakenya??Tafadhali jisheshumu na ujiangalie kwanza.Maturity sio kutusi wanawake.Nonsense
Ndio manake mumelemaa akili we unafikiria ni kila mtu unaye muona unamtaniaPolepole utaelewa Kati ya matusi na utani nimemaliza
Usiwe na hasira asubuhi saa hiiYour arguement sound pathetic, what a waste, big head with no brain![]()


.