kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
hawakuja kwa ajiri ya vacation bali walikuja kuwaimbia wakenya nyimbo za gospel.Mary Mary pia walikuwa huku last month
kwa sasa mpo kwenye stress kubwa ya kukosa chakula so you need guys like mary mary to comfort you with gospel song.
