Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

5.8million within 3 days👇👇
165627D0-360C-4406-841E-C7D098ED364B.jpeg
 
Hahaha!!umeshindwa kuitetea kauli yako ya corona
Mzee kafa kw ajili ya complications bana, labda we ndio unambie km mlipima maiti yake akapatikana hana
sijajua labda wewe unajua zaidi unaweza kuelezea jamii.....

karibu sana
 
Mbona hujibu swali? Tanzania imekua kwa asilimia ngapi huu mwaka?
kama kawaida yako mzee wa maboko kila siku kazi yako ni kujichekesha tu,,,,,,huwa unapenda kujifurahisha for nothing kwa kuviokota vilink mwisho wa siku unaumbuka.....

jiulize kwanza kwanini tumekuacha kilichobakia hapo tunakucheka tu. ......mzee wa kukua kwa uchumi 1%

ila kizuri ukweli unaujua
 
Back
Top Bottom