Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn jamaaa kataja slum
emoji1787.png
emoji1787.png

Dar hakuna slum bana we ndio unwaweweseka tu na ile picha..
Au huitaki
Zoom basi tuamini hvi 👇👇👇👇
Zoom na ww utuoneshe kitu inaitwa slum leo niamini alieweka sattelite juu hana akili 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1640730
 
nimewapa pole chaajabu umekuja na povu jingi lisilo eleweka.....kwa kauli zisizo na evidence [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] eti raisi mstaafu alikufa kwa covid aliyekudanganya ni nani na una uthibitisho gani wakidaktari...?

show me,,,,,labda inawezekana wew ndiye uliyemuhudumia hospital
Bwahaha[emoji1787][emoji1787]
Mbna unaweweseka, umeskia hapo nimetaja covid jamani..
Au wewe ndio unambie km walimpima wakakuta hana corona..

Nyie hampimi corona bana, watu hko hufa kw complications tu, au unakataa[emoji1787][emoji1787]
 
Hii ni picha ya mwaka gani?[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu nionyeshe CBK tower hapo, ebu nionyeshe Parliament Tower, ebu nionyeshe Hazina Tower, ebu nionyeshe Prism tower[emoji1787][emoji1787]
Wewe embe acha masihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]hii utaitaje sasaView attachment 1640742
 
Back
Top Bottom