Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli hii picha imekutesa[emoji23][emoji23]. 99% of Dar look like this[emoji1787][emoji1787]View attachment 1640541
Hizo ni nyumba za ghorofa zaidi ya 80%, hapo ni Magomeni, kuna magorofa ya nguvu sana, unaogopa kuweka picha zenye kuonyesha hizo nyumba kwa karibu kuogopa kudhaliliks, Dar ni modern city sio Nairobi(City of slums)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Siku

Mkunya akileta view kama hii ya nairobi natoka jf siku hiyo hiyo
Lete view km hii dar nitoke jf[emoji1787][emoji1787]
Manake hko kw vichochoro hamjambo
tapatalk_1590875975658.jpg
 
poleni sana wakenya kwa msiba mzito ...

corona bado sana mtaishi nayo kikubwa muendelee kuvaa barakoa na kufuats taratibu zote za kujikingaView attachment 1640650
Si hta hko kwenu kuna rais mstaafu kafa kw ajili ya complications hvo hvo..
Tofauti yetu na nyinyi sisi hku tunapima nyie hampimi maiti..
Msijifanye eti Mungu anawapendelea, Mungu hapendelei yyte yule kwetu sisi wote kwake tupo sawa..

Kwhyo endeleeni kuficha
 
Hizo ni nyumba za ghorofa zaidi ya 80%, hapo ni Magomeni, kuna magorofa ya nguvu sana, unaogopa kuweka picha zenye kuonyesha hizo nyumba kwa karibu kuogopa kudhaliliks, Dar ni modern city sio Nairobi(City of slums)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Joto la jiwe naona umeanza kuwehuka sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo ni maghorofa sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo zinakaa hivi kw chini[emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116]
images.jpeg-41.jpg
 
Si hta hko kwenu kuna rais mstaafu kafa kw ajili ya complications hvo hvo..
Tofauti yetu na nyinyi sisi hku tunapima nyie hampimi maiti..
Msijifanye eti Mungu anawapendelea, Mungu hapendelei yyte yule kwetu sisi wote kwake tupo sawa..

Kwhyo endeleeni kuficha
nimewapa pole chaajabu umekuja na povu jingi lisilo eleweka.....kwa kauli zisizo na evidence [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] eti raisi mstaafu alikufa kwa covid aliyekudanganya ni nani na una uthibitisho gani wakidaktari...?

show me,,,,,labda inawezekana wew ndiye uliyemuhudumia hospital
 
A zoom ni na wakati hayo ni ma bungalow hta kw hewani yanaokena yapo vizuri tu[emoji1787][emoji1787]
Zoom na ww utuoneshe kitu inaitwa slum leo niamini alieweka sattelite juu hana akili 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
C5A041F4-C7D5-4906-8515-6D1F20808160.jpeg
 
Back
Top Bottom