Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha kuwa politician sema hamna state of the art slaughter house kama hiyo!

FYI there r around 6 of these in Tanzania currently U/C!
Geza unazozijua pamoja na hiyo ya Vingunguti, Shinyanga,Mwanza nk ongezea na Machinjio Mpya ya Geita. Ni kubwa Fence ni Mita 200 kwa Mita 200.

Nitaitupia siku moja nina mpango wa kwenda Geita
 
Geza unazozijua pamoja na hiyo ya Vingunguti, Shinyanga,Mwanza nk ongezea na Machinjio Mpya ya Geita. Ni kubwa Fence ni Mita 200 kwa Mita 200.

Nitaitupia siku moja nina mpango wa kwenda Geita
Kuna Kibaha, Dodoma na Sumbawanga pia!


 
Tunashangaa nyinyi kujenga flat nyingi wakati kuna sehemu kubwa bado ziko wazi (private land?), huku mkirundika watu wengi kwenye slums.
Kuna sehemu kubwa bado iko wazi?? 😂 😂 😂
Hivi, wewe umehawi tembea Nairobi?
 
Unaumwa sana na huu ukweli [emoji23] [emoji23]. Jiji lenye halina hata sewer system in its cbd! [emoji23]
Endelea kuota halafu ukimaliza nenda kanye kwenye flying toilet kisha uzitupe kwa barabara.
 
Tunashangaa nyinyi kujenga flat nyingi wakati kuna sehemu kubwa bado ziko wazi (private land?), huku mkirundika watu wengi kwenye slums.
Sehemu kubwa bado ziko wazi 😂 😂 😂
Do you know something about planning and proper land use? Ama unataka Nairobi nyumba zirundikane kila sehemu bila mpangilio kama Dar?

90% of houses in these images below are apartment buildings
 
I didn't know unakuanga this emotional ukiambiwa ukweli [emoji23] [emoji23]
Pole kwa maumivu
Emotional kisa nini?
Au unadhani ukiwa emotional basi kila mtu anakuwa hivo!

Endelea kuota halafu ukimaliza nenda kanye kwenye flying toilet kisha uzitupe kwa barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…