Is this thing superior according to you?[emoji23][emoji23][emoji23] This is poor workmanship my friend.Umeshindwa kujenga hoja umeamua kuleta ushabiki, Kenya reli yenu is far inferior in almost every aspect except small stations only.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
ni macommedy kwa kweli[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Uwezo wao wa akili ni mdogo sana, ninawafahamu vizuri, hawanisumbui sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
typical kunyan brain kuficha kichwa mchangani uku umebon^goaShould I say more?[emoji23][emoji23][emoji116]View attachment 1640021
Wewe huoni venye hiyo reli iko? Ama wewe ni kipofu?hueleweki [emoji16][emoji23][emoji23] ndiyo nini sasa.......reli ikiisha siutachanganyikiwa mzee
Kabisa mkuu. Wachina kwenye speed wanajulikana.sema nn ile ya mwanza au zilizobaki zote wapewe wachina [emoji23].. hawa waturuki wako slow
Hii picha ndio inafanya ulie hivo?[emoji23][emoji23]typical kunyan brain kuficha kichwa mchangani uku umebon^goa
sioni chaajabu ,,,,,kwanza bado haijakamilika,,,huwa unapendwa kujifurahisha for nothing....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Wewe huoni venye hiyo reli iko? Ama wewe ni kipofu?View attachment 1640034
itafanyiwa alignment kama ulkua hujui now u knowHii picha ndio inafanya ulie hivo?[emoji23][emoji23]
View attachment 1640036
sioni chaajabu ,,,,,kwanza bado haijakamilika,,,huwa unapendwa kujifurahisha for nothing....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
utakuwa jobless si bure
[emoji1787][emoji116][emoji23]itafanyiwa alignment kama ulkua hujui now u know
ila izi akili za kikunya [emoji16][emoji16][emoji16] mmetisha sana
hapo chaajabu ni kipi.....?...Excuses as always[emoji23][emoji23]
Far superior than Chinese class one[emoji23][emoji23][emoji23]Is this thing superior according to you?[emoji23][emoji23][emoji23] This is poor workmanship my friend.View attachment 1640026
Vyoo gani hizo nyumba ziko nazo wakati Dar asilimia kubwa ya watu wanatumia pit latrine?! Hata sewerage system huko ni sehemu ndogo tu ya Dar ndiyo iko covered! Actually, sewerage system serves only less than 13% of Dar residents according to reports. Waste water inaelekezwa baharini! Danganya wengineDream houses ni bora mara mia kuliko hayo mabanda ya "bati after bati" [emoji445]
Maana dream houses kuna vyoo bora, maji pamoja na huduma zingine muhimu.
Na mbona mkiona magorofa ya makaazi kama hayo Nairobi mnazikejeli na kusema hakuna mtanzania anaweza kuishi kwenye box au dormitory, as you also call them?! Saa zingine pia mnabadilisha lugha na kusema hizo nyumba zinamilikiwa na wazungu. Nashangaa leo mnazishabikia!!Haya maeneo yalishajengeka toka 1940's, kipindi kile population ilikuwa 50,000... sasa hivi ni six million. Ndiyo sababu ya kujenga haya maghorofa.
Tunashangaa nyinyi kujenga flat nyingi wakati kuna sehemu kubwa bado ziko wazi (private land?), huku mkirundika watu wengi kwenye slums.Na mbona mkiona magorofa ya makaazi kama hayo Nairobi mnazikejeli na kusema hakuna mtanzania anaweza kuishi kwenye box au dormitory, as you also call them?! Saa zingine pia mnabadilisha lugha na kusema hizo nyumba zinamilikiwa na wazungu. Nashangaa leo mnazishabikia!!
Hapo hata tamping machine bado haijapita au huelewi hatua za utandikaji wa reli?[emoji1787][emoji116][emoji23]
Wewe certified nincompoop endelea kuota hiyo ndoto kisha ukimaliza nenda kanye kwenye flying toilet.Vyoo gani hizo nyumba ziko nazo wakati Dar asilimia kubwa ya watu wanatumia pit latrine?! Hata sewerage system huko ni sehemu ndogo tu ya Dar ndiyo iko covered! Actually, sewerage system serves only less than 13% of Dar residents according to reports. Waste water inaelekezwa baharini! Danganya wengine
You people are a very funny lot. Hamtaki kukubali kwamba mko na mapungufu hata kidogo. Nyumba Kama hizo ziko kila corner Nairobi ila zikionyeshwa hapa chuki zinawapanda na mnaanza kutuambia vile hakuna mtanzania anaweza kuishi kwenye dormitory. Mara sijui eti hizo ni boxes. Mara eti wamiliki Ni wazungu. There's just too much excuse and dramaHii hapa wakulungwa wa kaskazini wangesema Slum upgrading program [emoji23]
Magomeni hiyo.
View attachment 1639189
View attachment 1639190
View attachment 1639191
Truth always hurts. Hata pale posta mwendo ni huo huoWewe certified nincompoop endelea kuota hiyo ndoto kisha ukimaliza nenda kanye kwenye flying toilet.