Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwaiyo yy sio mjinga ila nyie ndo wajinga, at the end of the day faida yke inakuja kuwacost nyinyi🤦🏾‍♂️
Hakuna mtu mjinga hapa. Tutafaidika kwa kuwa na barabara pana ambayo haitakuwa na jam na itakuwa express bila kusimama.
 
Anataka magari yaongezeke barabarani ndio arudishe pesa yake haraka. Metro na Brt zitareduce traffic maana Wakenya watawacha kununua magari na kupanda metro. Au watawacha magari nyumbani na kupanda metro. Hivi unadhani huyu investor ni mjinga?
yaleyale ya bagamoyo port et tusiendeleze bandari yoyote ile...
baada ya kubanwa mchina kaona aunge juhudi tuu za miundombinu ya GOT ili aweze kuzifikia nchi 7 na zaidi
kenya mnakwama wapi?
 
Suggestion nzuri lakini hii sio government project. Hii ni private project. Investor ndiye anaamua mambo hayo.
Hiyo iko kwa plan.
jyfivgpatyla25d3d5a1dbb64f.jpeg
 
Back
Top Bottom