Kabla Uhuru kuondoka mtapiga above 100%, sasa hivi uchumi wa Kenya umekufa kabisa, bila mikopo nchi yenu haiwezi kufanya lolote.
Tatizo lenu wakenya ni uwezo mdogo wa kufikiria mambo kwa undani, mfumo mbaotumia wa kuendesha serikali yenu ni ghali sana, uchumi wa Kenya hauna uwezo wa kugharamia huo mfumo, haiwezikani Kenya kulipia mishahara na gharama za wabunge ya Taifa na Seneti, kulipia MCAs. Governors, Mawaziri, wakuu wa Mikoa, na karibu wote hao wana walinzi 24/7 wanalipwa na serikali ukiacha MCAs.
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app