joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hakuna mwaka utapita bila Kenya kupokea chakula ya msaada au wakenya kufa kwa njaaMwaka gani hiyo?![]()
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hakuna mwaka utapita bila Kenya kupokea chakula ya msaada au wakenya kufa kwa njaaMwaka gani hiyo?![]()
Nani amekufa kwa njaa huu mwaka?Hakuna mwaka utapita bila Kenya kupokea chakula ya msaada au wakenya kufa kwa njaa
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app



Mumepewa pesa ya kununua chakula, isingekua misaada ya vyakula vya msaada kukabiliana na Corona, mngekufa wengi sana kwa njaaNani amekufa kwa njaa huu mwaka?![]()


Mumepewa pesa ya kununua chakula, isingekua misaada ya vyakula vya msaada kukabiliana na Corona, mngekufa wengi sana kwa njaa
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hapo ilipo inajinyea na ushuzi juu 😅😅😅 ikifika 100 tayari imekufa huku mukimsubiri yesu ashuke kusaidia kenya sasaKwani wewe hutaki tufike 150%?![]()


Hapo ilipo inajinyea na ushuzi juuikifika 100 tayari imekufa huku mukimsubiri yesu ashuke kusaidia kenya sasa
Mutabakia na ile kitu inaitwa debt to GDP ratio ndio maana leo hata kujenga miundombinu kwa kutumia pesa zenu hamuna mumebakia kuuza nchi taratibu kwa mchina 😅😅😅😅 na mchina alivo mtamu anachukua anaweka waaaaaAlafu Tanzania inapita Kenya kwa GDP? Sindio?![]()


Mutabakia na ile kitu inaitwa debt to GDP ratio ndio maana leo hata kujenga miundombinu kwa kutumia pesa zenu hamuna mumebakia kuuza nchi taratibu kwa mchinana mchina alivo mtamu anachukua anaweka waaaaa
Kenya inagombana na majirani wake woteHaya kushakucha tayar
Wamechanganyikiwa hawa, wanaokoteza tuu picha mitandaoni ili kulinganisha na DART. Mfano hilo basi linalotangaza "go Royals" ni kc metro bus (KCATA). Ni daladala ya kawaida tu (siyo BRT).even after metro trains launch in Nairobi, kenyans remain to be envious of DART system!
Kwa hivyo "kutokuwa na corona" is the measure of development in Tanzania nowadays? Mbona umelemazwa akili na uzalendo za kijinga? Niambie Tanzania inashinda Angola au Misri kwa lipi ikija masuala ya maendeleoAhead because they die of Covid- 19 while Tanzania we defeated Corona?. This type of reasoning is the reason why many Kenyans are dying of hunger during this century of advanced science and technology. While other countries are planning to advance in technology, you are struggling to get enough food.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
hahahahahaha akina teargass et alEven killing each other during election time?. Kenya is a failed state, few people own Kenya, majority are like refugees
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwanza lazima utaje maendeleo ninini?, ujinga ni pale unapofikiria kuwa na "Malls" kubwa au majumba marefu mijini ndio maendeleo wakati wananchi wengi wanaishi katika slums, hawana ajira, hawana chakula cha kutosha, hawapati maji safi na salama, hawana amani, wanasumbuliwa na majambazi na majizi mitaani kwao, hawana uwezo wa kudumu gharama za matibabu.Kwa hivyo "kutokuwa na corona" is the measure of development in Tanzania nowadays? Mbona umelemazwa akili na uzalendo za kijinga? Niambie Tanzania inashinda Angola au Misri kwa lipi ikija masuala ya maendeleo
mkuu naomba uelewe; kenya ni nchi ya wachache tena wazungu na familia chache zilizobahatika kupora rasilimali nyingi za kenya, hao wa kibera sijui kariobangi ni sawa na wanyama tu na ndiyo maana kila kitu kipo concentrated pale nairobi walipo wazungu. Mbaya zaidi wakenya hawaliewi hili, wamelala fofofo wakipumbazwa na nairobi express way na gdp isiyo na maana yeyote kwa nyangau wanaojifia kwa kukosa chakula na maji kila siku. THIS IS REAL A FAILED STATE. NI AIBU KUPAKANA NA HII NCHI.Kwanza lazima utaje maendeleo ninini?, ujinga ni pale unapofikiria kuwa na "Malls" kubwa au majumba marefu mijini ndio maendeleo wakati wananchi wengi wanaishi katika slums, hawana ajira, hawana chakula cha kutosha, hawapati maji safi na salama, hawana amani, wanasumbuliwa na majambazi na majizi mitaani kwao, hawana uwezo wa kudumu gharama za matibabu.
Tanzania imezidi Angola kwa mbali sana katika hayo niliyotaja, watanzania wengi wanaishi maisha mazuri sana ulilinganisha na wakenya wengi, waangola na Waafrika kusini(blacks). Ujinga wenu ni kushughulika kujenga bara bara na majengo marefu Nairobi wakati hata maji ya kutumia ni shida bado mnakufa kwa kipindupindu lakini mnahisi hayo ndio maendeleo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kweli, ni heri tungepakana na Somalia kuliko hawa Nyang'au.THIS IS REAL A FAILED STATE. NI AIBU KUPAKANA NA HII NCHI.
Pia ule mradi wa DMDP nadhani hawa ndio wamewapa barabara nyingi zaidi....saivi ukipita iyo mitaa yao wako na barabara za mtaa nyingi sanaTemeke is the most unplanned Dar's district lakini it's still looking gorgeous
Flyovers na BRT zinainogesha Temeke
View attachment 1637959View attachment 1637960View attachment 1637962View attachment 1637963View attachment 1637964View attachment 1637965View attachment 1637966View attachment 1637967View attachment 1637968
Sasa kama hakuna corona ulitaka tuseme corona ipo??? Au kwa vile kwenu ipo basi na sisi tuwe nayo kwa lazima 😅😅😅 yani katika hua nawaona wanamawazo yakimaskini ww ni number moja kwakua jirani yako anakula vzr ww unataka kwenda kurogaKwa hivyo "kutokuwa na corona" is the measure of development in Tanzania nowadays? Mbona umelemazwa akili na uzalendo za kijinga? Niambie Tanzania inashinda Angola au Misri kwa lipi ikija masuala ya maendeleo