This 80% ratio to GDP
Kuko sawa ila izo bei walahi balaaRich Kenya
Ila wetu sie ni mzimu tunaujua hautukuli....Hapa Kenya ni kama Tanzania tu. Ukiprotest polisi wanakupiga risasi. Inabidi kila mtu anamind shughuli yake. Kimbele mbele mingi itafanya mtu aondoke duniani kabla wakati wake kufika. Hata nyinyi mlishindwa kuandamana wakati CCM iliiba kura.
Jamaa lengo lake lilikuwa ya mwisho nilivyogundua😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Picha ya mwisho noma sana mkuu.
Ila wetu sie ni mzimu tunaujua hautukuli....
Angalia na huyu mjinga Mwangi anataja Tanzania failed state wakati Uhuru anajaribu kufanya Russia#s leadership coup!!
Japan mzee ni first world country wao hawazungumzii maji wala afya wala shule wale wako miaka 300 mbele 😅😅😅Japan wana debt to Gdp ratio ya 250% and they are still intact.
Sasa kwann mumegusa red line kwann nyie tu au munaonewa😅😅😅Unakuanga na porojo sana, are you aware that Angola's debt to GDP ratio is 120% in 2020 and Egypt's debt to GDP ratio is more than 86%? Are you aware that Ethiopia's debt to GDP ratio is 80?
Ona huu upuuzi sasa😅😅😅😅Kabla Uhuru kuondoka mtapiga above 100%, sasa hivi uchumi wa Kenya umekufa kabisa, bila mikopo nchi yenu haiwezi kufanya lolote.
Tatizo lenu wakenya ni uwezo mdogo wa kufikiria mambo kwa undani, mfumo mbaotumia wa kuendesha serikali yenu ni ghali sana, uchumi wa Kenya hauna uwezo wa kugharamia huo mfumo, haiwezikani Kenya kulipia mishahara na gharama za wabunge ya Taifa na Seneti, kulipia MCAs. Governors, Mawaziri, wakuu wa Mikoa, na karibu wote hao wana walinzi 24/7 wanalipwa na serikali ukiacha MCAs.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kenya muko over 80% mzeee👇👇👇👇Kenya is not even among the top five African countries with the highest debt to GDP ratio.
1. Angola -120%
2.Egypt - 86%
3. Ethiopia- 80%
4. Algeria -76%
5. Ghana -76%
6.South Africa -66%
7. Kenya - 65%
Hizo nchi zote nimetaja hapo juu is more developed kuliko Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅👇👇👇👇 hebu jitie kidole tenaHiyo 75 ni wewe ndio uliomba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unajua kuliko CBK?[emoji1787][emoji1787]