Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mkuu naomba uelewe; kenya ni nchi ya wachache tena wazungu na familia chache zilizobahatika kupora rasilimali nyingi za kenya, hao wa kibera sijui kariobangi ni sawa na wanyama tu na ndiyo maana kila kitu kipo concentrated pale nairobi walipo wazungu. Mbaya zaidi wakenya hawaliewi hili, wamelala fofofo wakipumbazwa na nairobi express way na gdp isiyo na maana yeyote kwa nyangau wanaojifia kwa kukosa chakula na maji kila siku. THIS IS REAL A FAILED STATE. NI AIBU KUPAKANA NA HII NCHI.
Hio GDP wanaoyisifia hapa kwa sasa inajinyea 😅😅😅 hayo majumba marefu yenyewe ni yakuhesabu bado wanataka kujifananisha na japan eti kwasababu wana deni kubwa na wao ni hvo hvo, lazima itakua laana hio
 
Arusha 🇹🇿🇹🇿

View attachment 1637627

Mbeya 🇹🇿🇹🇿

View attachment 1637628

Kenya

View attachment 1637629
Kericho
images (5).jpeg
images (6).jpeg
 
mkuu naomba uelewe; kenya ni nchi ya wachache tena wazungu na familia chache zilizobahatika kupora rasilimali nyingi za kenya, hao wa kibera sijui kariobangi ni sawa na wanyama tu na ndiyo maana kila kitu kipo concentrated pale nairobi walipo wazungu. Mbaya zaidi wakenya hawaliewi hili, wamelala fofofo wakipumbazwa na nairobi express way na gdp isiyo na maana yeyote kwa nyangau wanaojifia kwa kukosa chakula na maji kila siku. THIS IS REAL A FAILED STATE. NI AIBU KUPAKANA NA HII NCHI.
Unapokosa focus or identity na kuwa bendera fuata upepo.... Maendeleo yanakuwa kila unachoona au kusikia... Siku wakisema maendeleo ni kujisaidia barabarani... Wenzetu watapanga mafurushi kuanzia Mombasa mpaka Kisumu.

Kenya Has no sense of Identity.. koala kinachofanywa na wazungu bila hata kukiweka kwa context wanabeba..
 
Alafu mnapita Kenya?
Ndio,tunaipita Kenya kwa,
1.Hatuna ukabila
2.Hatuna njaa
3.Hatuna slums
4.Tuna modern BRT
5.Tuna modern electrified SGR
6.Tuna modern Bus stand in African.
7.We lead in inclusive economy.
8.Tunaongoza kwa electrification in Africa
9.we have the largest H.E.P in E n Central Africa
10. We lead in dollar millionaires.
11.we r only Covid-19 free in a whole world!
And the list is endless!
 
Toa ujinga hapa
1.Mnalead in H.E.P kwani Ethiopia iko Europe?
2. Hamna slums wapi na World Bank inasema 50% of Tanzanians live in slums?
3. Mko na dollar millionaires wengi wapi wakati Banks za Kenya zinatengeneza faida kuliko Banks za Tanzania
3. Tanzania ni most inclusive economy wapi wakati only 0.0001% of Tanzanians are millionaires and 50% are extremely poor?
4. Zile buses za kuingia kutumia dirisha kuingia ndio BRT modern?
5. Mnalead in electrification wapi wakati rate of connection is only 32% ?
 
Kwani hii google earth ni yakina nani ??😅😅😅👇👇👇👇 tafuta ukipata nitag
7DD087BE-6409-484A-899F-9B51F2D89FBD.jpeg
 
Toa ujinga hapa
1.Mnalead in H.E.P kwani Ethiopia iko Europe?
2. Hamna slums wapi na World Bank inasema 50% of Tanzanians live in slums?
3. Mko na dollar millionaires wengi wapi wakati Banks za Kenya zinatengeneza faida kuliko Banks za Tanzania
3. Tanzania ni most inclusive economy wapi wakati only 0.0001% of Tanzanians are millionaires and 50% are extremely poor?
4. Zile buses za kuingia kutumia dirisha kuingia ndio BRT modern?
5. Mnalead in electrification wapi wakati rate of connection is only 32% ?
sema mzee wakuongea matope umesahau kitu kimoja kuhusu kuunganisha zile link zenu uchwara kwenye hayo maelezo
 
People who live in these areas probably earn something like 2,000,0000 kshs or more per month thats just the salary excluiding other sources of income that one might have.
Then they must be very stupid people ever, how can you earn good income but you live like wild animals?, what is the use of their incomes?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom