Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Floods happen everywhere. I’m very sure hata nairobi floods zimeharibu miundombinu! Kama huna kejeli yoyote inayohusisha β€œTHE BRT SYSTEM” specifically, huna sera! Nenda kalale ukue!
Hii ya kwanza pia ni flood?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • FB_IMG_16064960620820183.jpeg
    16.7 KB · Views: 19
Eti mtumba unakuwa modernity aisee ndo kwanza nasikia leo yaani used train a.k.a chuma chakavu,rail ya zamani enzi za mkoloni ndo inaitwa modern na new technology duhπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ€£..

Aisee mungiki kweli wamechanganyikiwa zile buses za brt ni mpya new kabisa,ile concrete road na terminal za brt ni mpya kabisaa na ni teknology mpya hapa east africa,rail ya mkoloni kila mtu anayo

Shida nini,hamna exposure!??..au hamjui maana ya modern na new technology???????
 
Kitu cha public unatozwa toll fee alafu mradi unaandikwa financed by the govt kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani mradi wa serekali kw public kisha mnalipia
Nssf iko chini ya serekali ila inajiendesha kibishara kwakubuni biashara mbali mbali sasa ile tozo ni kama pesa inarudi kuendeleza miradi mingine
 
Sisi tunataka our Debt to GDP ratio ifike 150% by 2022. Hiyo 80% bado ni kidogo sana.
Hapa ilipo GDP inahara na washakwambia munakaribia redline au hujui maana ya red line πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio jamaa waumie zaidi haswa, duh!!we kwel unajua kuwaumiza hawa jamaa
Waumie au munaumia nyinyi ww chizi kweli 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…