Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwan tukilipa serekali yetu kuna ubaya gani hzo kodi zikajenga mahospitali na barabara lakini nyinyi munaenda kumlipa mchina miaka 30 bila huruma alaf hapo hapo wafanyakazi wote watakua wachina na mishahara minono😄😄😄😄
 
Kwan tukilipa serekali yetu kuna ubaya gani hzo kodi zikajenga mahospitali na barabara lakini nyinyi munaenda kumlipa mchina miaka 30 bila huruma alaf hapo hapo wafanyakazi wote watakua wachina na mishahara minono[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Lazima deni mlilokopa siri siri lilipwe kw kiaina..toll fee kw pesa za ndani my foot[emoji1787][emoji1787]
 
Wataangalia opportunities wakurugenzi lakini kwa kifupi ndege zinaongezwa nyingi na route zitakua nyingi hasa kwa nchi za africa na asia pamoja na middle east
Naona mumeacha kwenda sauzi kisa eti kuna vurugu, naona mpka zari kaamua kutumi kq
 
Wao wanapagawa na hilo neno "PPP"..yaani sijawahi mazuzu kama makenya!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…